PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Polee shukuru uliolewa kuna wengine wanatamani hata hayo mateso. Kikubwa ni kwamba duniani hakuna huruma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polee shukuru uliolewa kuna wengine wanatamani hata hayo mateso. Kikubwa ni kwamba duniani hakuna huruma.
Kunyooshwa kupo tu, hata huyo unaemuhisi ni mtu sahihi anaweza kuja kukubadilikia na usiamini.Mnaanzaga mahusiano na wajinga wajinga mkinyooshwa mnaanza kulia lia.
Wanawake kama ninyi unakuta kuna kijana alikupenda kwa dhati ila ulimchukulia poa kwa kua hana kitu ukaenda kwa mwingine,sasa umenyooshwa
Pole sana mrembo,sali sana umtumikie Mungu tu sasa !…...
Kwa nini unajipa majibu mwenyewe badala ya kusikiliza sheria inasemaje? Hakuna mtu anayejiondoa Mahal bila sababu! Nenda mahakamani upate haki yako.Nasikia ukiondoka mwenyewe haupati kitu mpaka awe amekufukuza