Nimenyoosha mikono juu

Nimenyoosha mikono juu

Mnaanzaga mahusiano na wajinga wajinga mkinyooshwa mnaanza kulia lia.

Wanawake kama ninyi unakuta kuna kijana alikupenda kwa dhati ila ulimchukulia poa kwa kua hana kitu ukaenda kwa mwingine,sasa umenyooshwa

Pole sana mrembo,sali sana umtumikie Mungu tu sasa !…...
Kunyooshwa kupo tu, hata huyo unaemuhisi ni mtu sahihi anaweza kuja kukubadilikia na usiamini.
 
Nasikia ukiondoka mwenyewe haupati kitu mpaka awe amekufukuza
Kwa nini unajipa majibu mwenyewe badala ya kusikiliza sheria inasemaje? Hakuna mtu anayejiondoa Mahal bila sababu! Nenda mahakamani upate haki yako.
 
Back
Top Bottom