Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Ukitoka uko pitia na Chugga bablai..Uku utavua hadi nguo ariff,Kuna watoto wa kirangi na wambulu ni laana aisee!!
 
Kiukweli nina dada zangu wa3 wameolewa usukumani,kikubwa kisa weupe....kuna siri gani wasukuma kupenda watoto weupe? Niliambiwa mahari ya mtoto mweupe ni zaidi ya wa kawaida ni kweli hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli shida yao miguu, ya mbu
 
Mleta mada nadhani hujatembea maeneo ya sinza dar es Salaam

Sent using Sukhoi Su-57
 
Wanatukana balaa, wengi wahuni wahuni halafu hata kugegedana hawajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…