Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Unatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
Nimetembea sana mikoa kama bukoba, panda, katavi na mbeya haina watoto wakali ni Wa kutafuta kwa toch
 
Mwanamke wa kuoa n tabia yake nzur kila cku tunakutana na maujumbe kwenye mabajaji na magari ukisema kosea kujenga nyumba ila c kuoa na raha ya ndoa n kucheka na kufurah pamoja na mwenza na vingnevyo.
 
Naunga mkono hoja yako.
Niko Arusha na Moshi mwezi wa 12. Nimeshuhudia ulisemalo.

Alafu wanajipenda mno warembo wa ukanda huo. Wako smart.

Acha tu kesho kutwa nirudi home.
Wasije wakanimalizia salio la mwaka mpya.
Hakika wako smart ile mbaya na siyo washamba washamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…