OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hizo mambo zishapitaga bidada..Oa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mambo zishapitaga bidada..Oa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Arusha ndiyo balaa wakivaa tena nguo za kuzuia baridi wote wanakua waremboNaunga mkono hoja yako.
Niko Arusha na Moshi mwezi wa 12. Nimeshuhudia ulisemalo.
Alafu wanajipenda mno warembo wa ukanda huo. Wako smart.
Acha tu kesho kutwa nirudi home.
Wasije wakanimalizia salio la mwaka mpya.
Nimetembea sana mikoa kama bukoba, panda, katavi na mbeya haina watoto wakali ni Wa kutafuta kwa tochUnatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
BehaviouristMuiteni yule jamaa wa kuulizia chura!
@behaviorst
Hakika wako smart ile mbaya na siyo washamba washambaNaunga mkono hoja yako.
Niko Arusha na Moshi mwezi wa 12. Nimeshuhudia ulisemalo.
Alafu wanajipenda mno warembo wa ukanda huo. Wako smart.
Acha tu kesho kutwa nirudi home.
Wasije wakanimalizia salio la mwaka mpya.
Ngoja tusubiri aje!
Karibu na Tanga basi usiishie tu hukoNipo mkuu nimerud saiv napiga misele tu kiongoz wangu
Oa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Huko kuna Wairaqw (Wambulu),ni wazuri ila hawajui kusema HAPANANasikiaga na manyara ni shida sema sijafika mkuu nitajitaid nifike