Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Mwanamke wa kuoa n tabia yake nzur kila cku tunakutana na maujumbe kwenye mabajaji na magari ukisema kosea kujenga nyumba ila c kuoa na raha ya ndoa n kucheka na kufurah pamoja na mwenza na vingnevyo.
Mkuu kabla ya kujua tabia ya mwanamke sii unaanzia sura kwanza au unaweza kuuoa mwanamke ambaye hujamuona sura yake lakin ukawa ushaona tabia yake tu?
 
Aman iwe kwenu wapendwa

Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku

Twende kwenye maada

Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana

Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman

Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku

Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa

Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu

LONDON BOY

WASUKUMA NA WANAWAKE WEUPE NI KAMA ANAWAKE NA HELA AU SAMAKI NA MAJI ANAWEZA AFANYE CHOCHOTE

WAZEMBE SANA NYIE WASUKUMA
 
Back
Top Bottom