OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Tanga na moshi wapi kuna watoto wakali..Karibu na Tanga basi usiishie tu huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga na moshi wapi kuna watoto wakali..Karibu na Tanga basi usiishie tu huko
Hahaaaaa Mbna mzee wangu yupo na he is 60 nowOa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Mkuu kabla ya kujua tabia ya mwanamke sii unaanzia sura kwanza au unaweza kuuoa mwanamke ambaye hujamuona sura yake lakin ukawa ushaona tabia yake tu?Mwanamke wa kuoa n tabia yake nzur kila cku tunakutana na maujumbe kwenye mabajaji na magari ukisema kosea kujenga nyumba ila c kuoa na raha ya ndoa n kucheka na kufurah pamoja na mwenza na vingnevyo.
Uko ndo balaa mkuu ..pambana uje.Nasikiaga na manyara ni shida sema sijafika mkuu nitajitaid nifike
Aman iwe kwenu wapendwa
Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku
Twende kwenye maada
Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana
Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman
Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku
Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa
Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu
LONDON BOY
MwanzaTanga na moshi wapi kuna watoto wakali..
MkuuOa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Hahahaaaaa...Bhakachelaga hashamaguta
Hata nzi hufia kwenye kidonda chenye mafuta mafuta. Kwahiyo siyo mbaya acha tu nife
Unataka picha na wewebila picha hii thread ni sawa na fununu kama fununu nyingine tu
Hahaha hao wa Mwanza itakuwa ni wakuja.Mwanza