Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Dah... siku ukishuka Caracas sijui utakuja na nyuzi ngapi humu [emoji41]
 
Unatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
Kintinku?? Hii hii kama unaenda manyoni singida?
 

Picha sasa.....!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka mm insta babe nakupendea hapo tu unavyojua kunijaza tu mm najiona kibonge

Heri ya xmass insta babe wangu
insta babe embu acha kujifananisha na vitu visivyojulikana..... hivi unajua kwamba ww sio wa kispot spot eeeeh [emoji23]
Naona zoezi linaenda vizuri.. Taratibu bazazi anachangisha karata zake vyemaa... [emoji23][emoji23][emoji23] tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…