Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
eeeeh insta babe alete picha tuone huo uzuriUnataka picha na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeeeh insta babe alete picha tuone huo uzuriUnataka picha na wewe
Insta babe bwana kwahiyo nitakuwa nipo tofauti nao mpaka udai picha zaoeeeeh insta babe alete picha tuone huo uzuri
Dah... siku ukishuka Caracas sijui utakuja na nyuzi ngapi humu [emoji41]Aman iwe kwenu wapendwa
Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku
Twende kwenye maada
Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana
Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman
Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku
Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa
Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu
LONDON BOY
Kintinku?? Hii hii kama unaenda manyoni singida?Unatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
Nenda Mbulu,Babati au KaratuBagoshaaaa Mimi hao ndo nawataka sasa
insta babe embu acha kujifananisha na vitu visivyojulikana..... hivi unajua kwamba ww sio wa kispot spot eeeeh 😂Insta babe bwana kwahiyo nitakuwa nipo tofauti nao mpaka udai picha zao
Bro uku watoto ni wakali halaf ni sildHahahaaaaaa umetisha mkuu urithi Wa dunia? unataka kunifanya kesho niage nije nichek totoz nisafishe macho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka mm insta babe nakupendea hapo tu unavyojua kunijaza tu mm najiona kibongeinsta babe embu acha kujifananisha na vitu visivyojulikana..... hivi unajua kwamba ww sio wa kispot spot eeeeh [emoji23]
hahah insta babe bwana..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka mm insta babe nakupendea hapo tu unavyojua kunijaza tu mm najiona kibonge
Heri ya xmass insta babe wangu
Waambie waluga luga wanabisha..Kweli huko kuna totoz kali sana...
I know!
Asante..Oa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Aman iwe kwenu wapendwa
Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku
Twende kwenye maada
Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana
Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman
Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku
Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa
Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu
LONDON BOY
Hahahahhahah insta babe bwana..
thanks...merry xmass insta babe
hahaahah... insta babe unataka kujiona eeeh....Hahahah
Insta babe ujue natamani kumuona huyo shunie wa insta anayekutia uchizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka mm insta babe nakupendea hapo tu unavyojua kunijaza tu mm najiona kibonge
Heri ya xmass insta babe wangu
Naona zoezi linaenda vizuri.. Taratibu bazazi anachangisha karata zake vyemaa... [emoji23][emoji23][emoji23] tuko pamoja.insta babe embu acha kujifananisha na vitu visivyojulikana..... hivi unajua kwamba ww sio wa kispot spot eeeeh [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu fanya kunitumia tu mm nacheka sanahahaahah... insta babe unataka kujiona eeeh....
basi ntakutumia PM picha zako ujione [emoji23][emoji23]
Huyo wa kwangu usiwe na wasiwasiNaona zoezi linaenda vizuri.. Taratibu bazazi anachangisha karata zake vyemaa... [emoji23][emoji23][emoji23] tuko pamoja.
Naona zoezi linaenda vizuri.. Taratibu bazazi anachangisha karata zake vyemaa... [emoji23][emoji23][emoji23] tuko pamoja.
naona mkuu ana wasiwasiHuyo wa kwangu usiwe na wasiwasi