Nimeoa kumkomoa mwanamke nileyempenda kwa dhati. Najuta

Nimeoa kumkomoa mwanamke nileyempenda kwa dhati. Najuta

Teh.... Kwa Hiyo ulimuacha kwa kushauriana na mchepuko wake ??? Hapo ndipo ulipoksea....ulifanya maamuzi kwa kumkomoa mwanamke sasa unalia lia.....

Hv kama ungempata mzuri anaekufurahisha bed ungemkumbuka Huyo x wako???

U don't love your x .....
Komaa na Huyo wandoa mfundishe Nini unataka!!!

LA sivyo utaangaika saana
 
Mhh ndo hapo naposhindwa kuelewa unakubalije kuoa mwanamke usiyempenda. Bora ya mwanamke akiolewa na mwanaume asiyempenda anaweza kujifunza kumpenda ila kwa mwanaume huwa ni ngumu. Pole sana mtoa mada ila ulikosea.
 
Haa haa aiseee nmecheka sana (doto zlianza kuzmika maratu nlipomnunulia,cm ya y330) anyway pole sana ndo madem zetu hao
 
Maamuzi mengine bana, sasa yule mume mwenzako mliyekubaliana naye mumteme huyo mwanamke angekuzunguka na kuamua kumuoa yeye si ungejinyonga kabisa sasa hivi kwa ujinga wako.

Pole sana
Unanicheka au unanishauri?
 
Visasi sio vizuri, pia kufanya maamuzi ya kudumu katika temporary situation sio vizuri pia....pole cha msingi jifunze kumpenda ikiwezekana mtafute mwalimu wa tuition kabisaaa......!
 
Tuepuke visasi na maamuzi ya gafla,

hatumkomoi mtu zaidi ya mioyo yetu
 
He,heh..
Ulijua unamkomoa kumbe unajikomoa mwenyewe. Vumilia tu, hilo ndo lishakua zigo lako
 
Hahahah uo n upompopo uu mchezo hautak hasira
 
Mkuu umerudi tena! Nilikumis sana.
Back to the topic; hapo hauna namna ya kumrudia X wako, cha kufanya kaa na mkeo myajenge upya.
 
Huuuuh inawezekana hujampenda uyu ulie muoa..... Jifunze kwanza kumpenda
 

You know that she is just a heartbreak in disguise
You know that fallin' for the girl is not so wise
But every time your mind wants you to stay away
Your heart just looks the other way

Oh, oh, she's all that you want now
Oh, oh, she's nothin' you need
Oh, oh, but there you go, blame it all on love
You know you should know better

But the heart is not so smart
Can't always trust it, no
The heart is not so smart
Goes where it should not go.
 
Back
Top Bottom