Nimeoa kumkomoa mwanamke nileyempenda kwa dhati. Najuta

Nimeoa kumkomoa mwanamke nileyempenda kwa dhati. Najuta

Hao hawakua wake walkua vijakaz mkuu Ibrahim alikua na mkewe Sara mpk Sara alipotaman mtt na kumruhusu mmewe kutembea na kjakazi na sio kuoa mke wa pili.... Mpk Mungu alipoona maumivu ya Sara nakuwapatia Mtt ktk uzee.. Mke ni 1 tu mkuu
mkuu kwa hiyo yakobo alikuwa na mke mmoja?mi nawajua wawili
 
Ndio lina ukweli. Inawezekana mwanamke akawa ameolewa au kudate na mwanaume ambaye hakumpenda ila upendo anaouonyesha yule mume kwa mkewe humvuta mwanamke. Baada ya mda mke hujikuta anampenda mmewe tofauti na mwanzo. Umewahi kuwaza inakuaje mdada amechaguliwa mchumba na wazazi halafu akawa hamkubali jamaa, then anaolewa kwa shingo upande ila baada ya muda anakuwa tofauti, anaonyesha upendo wa hali ya juu kwa mumewe.

Asante mkuu

Wew ni me au ke
 
Uliamua kuoa huna budi kuvumilia ya ndani ya ndoa, kama hajui mautundu ya kitandani muelekeze, vituko na mengineyo ni mambo ya kurekebishana.
 
sio uislam tu hata ukristo hakuna mahali wamezuia mtu kuoa mke zaidi ya mmoja isipokuwa tumefata ustaarabu wa wazungu badala ya kufata kweli yaani biblia

Imeandikwa, Mtu atamwacha baba na mama yake, naye ataambatana na ""mkewe"".....mke mmoja, sio "wake"" sawa?

Mungu alimuumba adam na mwanamke mmoja tu
 
Every learning situation is new and unique... (usikarir mapenzi... Na kama unamuona Gwaride bdo halifiki.. Mfundishe naye atajua tu.)
 
sio uislam tu hata ukristo hakuna mahali wamezuia mtu kuoa mke zaidi ya mmoja isipokuwa tumefata ustaarabu wa wazungu badala ya kufata kweli yaani biblia
Ustarabu wa wazungu... By the way bibilia haijaanzia kwa wazungu...
Kama Middle East ni wazungu bhas sawa...
 
Nimeoa mwanamke ili kumukomoa mwanamke ambaye nilimpenda kwa dhati ambaye nilikuwa naye mahusiano kipindi cha mwaka mmoja.
Tuliahindiana kumuoa ila doto hizo zilizimika pale nilpomununulia simu ya Huawei y330.
Ikiwa siku moja nilipochukua simu yake nakwenda kwenye call history ili kuangalia namba anayowasliana nayo mara kwa mara.
Nikakuta namba ya mtu mwingine.
Ambayo namba ile ilikuwa imepingiwa na kupinga mara nyingi zaidi yangu mimi.
ambaye history ilionesha nimepigiwa mara tano na jamaa kapigiwa mara 89.
Siku ile nilichukua ile namba nakuipingia nakungudua ile namba kumbe ilikuwa na mimi ninayo kwenye simu yangu
Jamaa nikawa nimemujua.

Baada ya hapo nilimtafuta jamaa tukaongea kiume tukayamaliza na ili kumkomoa yule dada.

Tulielewana na jamaa tumuache wote na tukawa marafiki sote tukashauriana tukaoe kwingine kweli lengo letu lilifakiwa tukaoa na yule damu akabaki hana boyfriend tena.

Tangu nioe leo ni mwezi mmoja na mahali nimetoa ngombe 12
Baada tu yakuoa yule dada alikuja kwangu nakuniomba msamaha kwa yale yote yaliyotokea
Kusema ukweli nampenda sana huyu dada
Na huyu niliyemuoa sifurahii kabsa katika tendo hadi inafikia wakat ili kuijoy zaidi nihamishe akili kwamba ni yule wa zamani ninayefanya naye tendo

Vituko na dharau kwa huyu niliyemuoa zinanifanya nimkumbuke zaidi x wangu.

Jamani wana JF naomba msaada wenu wa mawazo nifanyaje kwenye njia panda hii ya mapenzi.

Mungu wetu ni mwaminifu jamani ,,,wanaume kama hawa wanaotuacha bila sababu maalum lazima wapate pigo ......hakika natamani yule dada uliyemuacha biila sababu ajue unateseka kwenye ndoa yako ashangilie hadi malaika wa mbinguni wajue hakika ,,,hakika tunawapenda kwa dhati mnatuona mabwege ,,,,yaan ni furaha...hakika wakaka wengine wajifunze kupitia post hii ....heri ungekaa nae mkazungumza yakaisha ....wacha uisome namba eeh upendo wa dhati haukomolewi hata kidogo...eti mumkomoe...hahaaaaa you made my day nipo likizo napiga mbege leo kata 4 kwa furaha ..kumbe Mungu wetu sisi wanawake sio kiziwi hata asipojibu leo atajibu mwakani....eti "tumpige chini tumkomoe" sasa kaka hapo umekomolewa wew au yeye??
 
Ndoa mwezi mmoja tu unalalamika hivi? Kazi unayo
 
Umri wako ni mdogo, hivyo unashindwa kuchukua uamzi wa kikubwa.hilo tatzo dogo sana.
 
wewe ni maamuma wa maandiko kina ibrahim yakobo daudi na wengine walikuwa na wake wangapi?ni wapi Mungu au biblia imekataza mtu kuwa na mke zaidi ya mmoja
Sasa si biblia ingesema alimuumba adamu na wanawake watatu au wanne, huhitaji hata certificate ya zoom hapo.
Wewe unaonekana hujui hata unamuabudu nani, Mungu anamtumia Mtu yeyote maana Mtu ni chombo tu alichofinyanga mwenyewe. Standard ameitoa Mungu, wewe unataka substandard ya binadamu mdhaifu ili uhalalishe kwenda kinyume na Mungu. Sasa hayo waliyofanya akina sulemani n.k walifanya kama tamaduni na walipata hasara itokanayo Mfano Sulemani wanawake zake walimpotosha akaanza kuabudu miungu yao na kujenga madhabahu za miungu mingine pamoja na kujenga hekalu na kila kitu bado hakuishia vema. Daudi alisababisha nchi ikapigwa kwa dhambi yake itokanayo na wanawake. Uzuri Daudi alijua kutubu.
Mungu sio mtu, saa nyingine ni neema yake tu kwamba asikumalize pale pale na ndo maana watu waovu tunaishi... Ndio maana kuna mstari unaulizaJe, tuendelee kutenda dhambi kwa sababu neema ipo? Wewe kwa akili yako uliyoonesha huu mstari ungejibu ndio.
Ndo maana kuna mstari unasema watasema "tulitoa mapepo kwa jina lako" lkn atawaambia sikuwajua ninyi kuchanganya mambo ndo kutaleta hili, angalia neno la Mungu tu ya watu waachie watu.
Ngoja wakufuate hao maamuma wakusomee
 
kwa kukusaidia tu imani ya ukristo tuliyoletewa na wazungu ina matobo kibao likiwemo hilo zaka utatu mtakatifu na mengine mengi mara sijui shetani alikuwa malaika yote haya ni uongo hakuna ukweli hapo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] okay tumsubiri yeye atakaewahukumu walio hai na wafu, tutajua hapo. Wewe unayesema uongo utajua hapo hapo
 
Mkuu umerudi tena! Nilikumis sana.
Back to the topic; hapo hauna namna ya kumrudia X wako, cha kufanya kaa na mkeo myajenge upya.
Mkuu nipo sana....! Sema niko kijijini kwa sasa network nishida sana
 
Mara huwezi kubembeleza hivyo inakuwia vigumu kupata mke, mara ghafla tena umeoa!!!

Jf siku hizi tafrani.
 
Back
Top Bottom