Nimeoa kumkomoa mwanamke nileyempenda kwa dhati. Najuta

Ndoa ina mwezi mmoja tu tayari huna hamu na mkewe wa ujana!!! Yaani Shetani anakutafuta kwa spidi ya 4G. Usipokubali kusali kwa imani ili Bwana akushindie hilo jaribu bhasi huyo X atakuharibia haswaa na utayumba mno.
 
Mhh ndo hapo naposhindwa kuelewa unakubalije kuoa mwanamke usiyempenda. Bora ya mwanamke akiolewa na mwanaume asiyempenda anaweza kujifunza kumpenda ila kwa mwanaume huwa ni ngumu. Pole sana mtoa mada ila ulikosea.
hata mwanamme anaweza kumuoa binti asiyempenda ila akajifunza kumpenda taratibu, tena ni raha sana kama mwanamme umekomaa akili maana utaishi na mkeo kwa akili zaidi na siyo kwa hisia za kupenda kwa kiwango cha kuchanganyikiwa.
 
unampenda mtu ambaye alishaanza kukucheat wakat hata hujatoa mahali, ungeingia naye kwenye ndoa si ndio angekuweka ndodocha. jamaa una akili kweli wewe? unaijua ndoa unaisikia.
 
Hute mkuu sijui ndoa please naomba unisaidie kuhusu hilo
 
Umevuna ulicho panda,poleee faida ya kulipiza kisasi ndo hiyo na hasira huwa ni hasara ndugu... Sisi ni binadamu wote hukosea we ukaona kuongea na jamaa na kuamua kuachana na huyo dada ni kumkomoa usikute na mwenzio ana kipata cha mtema kuni kama wewe au ye ana enjoy ndoa yake. Isome namba tu hamna jinsi
 

Mimi siongezi neno ila kama ni hivyo Adam alipewa mke mmoja na Mungu kizazi kilichofuata kaka walioa dada zao ? Na Kama ni hivyo ukristo uanturuhusu kuoa dada zetu . Mimi naona biblia ina mapana zaidi ila dini inatohoa vifungu na kuacha vingine ili kukidhi haja za ukristo .
 
Hakuna kosa kubwa utalofanya kama kurudi nyuma hasa kwenye mahusiano,maana japo furaha yako iko kwake na jua kabisa unampa hati miliki ya kukuumiza


Hicho ni kipindi cha mpito vuta subra utajifunza kumpenda uyo ulionaye ufunguwe moyo wako kwake namwachie mkonoX wako
 
Asante sana mkuu
 
Ndo maana kuna mwingine aliuliza aliyeandika aliwaonaje, kuna hadithi za mfano zenye lengo la kukupa logic ya mapenzi ya Mungu kwa mwanadamu. Kuna vitu havisemwi ila unayaona madhara yake kwa waliovifanya na unajua kwanini Mungu alikusudia the other way tofauti na watu walivyofanya. Mfano Nuhu aliwalaani wanae kwa kuwakalia uchi baada ya kulewa, lutu alileweshwa na binti zake akalala nao na kuwazaa kabila nadhan ni waameleki ambao baadae ilibidi waje waondolewe ... Ukisoma hizi unaelewa pombe iliplay part, kama hivi sasa ambavyo ulevi umeharibu maisha ya watu. Ila watu hatusomi kupata ufahamu, SAA nyingine tunasoma Ili tubishane au tunasoma kama kitabu cha hadithi
 
Pole sana mkuu usifany maamuz ya kukurupuk ni mabaya sana yameshanikost mpk najutia kwasasa
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…