Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

Yaani kisa umeoa ndio usinuniwee😑 ukute hata mahari ukumaliza ,alaf acha kucheza na michango ya watu ovyooo
 
I would like to express my sincere regret at the regrettable events that occurred.
Kwangu , I regret that I did not pay sufficient attention to some of the minor red flags that I noticed in her behaviour, nor did I pay much respect to her past As Natafuta ajira always says! Events zinatokea kwaajili ya majifunzo! Nimefeli mara moja, sitafeli mara ya pili tena.
 
Maisha wakati wa uchumba yalikuwaje? Au alificha makucha? Vijana niwashauri kuwa wakati wa uchumba ni wakati mzuri wa kuchunguzana. Ama vipi achana na ndoa.
Alikuwa ameficha baadhi ya tabia. Amekuwa mtoto pendwa kwa ndugu zaidi mashangazi.
 
Tatizo umekabia kwa juu..!! Wala hujaeleza sababu ya kukununia.
 
Yaani kisa umeoa ndio usinuniwee[emoji58] ukute hata mahari ukumaliza ,alaf acha kucheza na michango ya watu ovyooo
Michango ni madeni ambayo mimi nitalipa. Michango yao au sala zao hazijaenda bure.
 
Tatizo umekabia kwa juu..!! Wala hujaeleza sababu ya kukununia.
Hata mimi mwenyewe sijapata kufahamu sabababu ya kununiwa mkuu! Labda pengine amerukwa na akili, kwa sababu ni kitu ambacho sio cha kawaida kununa bila ya sababu.
 
Hata mimi mwenyewe sijapata kufahamu sabababu ya kununiwa mkuu! Labda pengine amerukwa na akili, kwa sababu ni kitu ambacho sio cha kawaida kununa bila ya sababu.
Itakuwa kuna kitu tu kinaweza kuwa hakina maana ila yeye kimemkwaza.

Anyway mnunie na wewe, chelewa kurudi nyumbani, ukirudi usile chakula, msalimie tu alafu uwe busy na mambo yako ataongea tu.
 
Not that bad, you can still start over admitting that ulikosea na yenyewe ni part ya kupata solution ya tatizo lako...There is always a new beginning, don't be a afraid to loose, loozing is part of the game. Pole sana wajamaika wana msema wao “Tek kin teet cova heartbun.” which means smile to hide your pain.
 
Unakuja kutushirikisha upumbavu wako hapa! Wewe jitu lenyewe wiki mbili haliachi kupiga makend...nje huko ataachaje kununa! Malizaneni huko huko maana manaume mengine ni matoto ya mama! Sasa jitu lenyewe huenda limelelewa na Singo maza litajuaje kukaa na mke?
 
Imeshindikana kaniambia yupo P na wakati nafahamu kamaliza Alhamisi! Kibaya zaidi leo wakati anavaa nimemeona akivaa taulo.
Mjomba kinacho kutesa ni Ulafi wa Papuchii. Yakupasa ujue mke sio starehe ya Papuchii mke ni zaidi ya Tendo Hilo.

Kama ukiwa na ufahamu huo kwamba mke sio Tendo la ndoatu basi ndoa yako itadumu.
 
You are of course entitled to express yourself as you see fit, however it might be advisable to exercise caution to ensure that your written contributions do not give the impression of an intellectual deficiency.
 
Reactions: Okk
Mjomba kinacho kutesa ni Ulafi wa Papuchii. Yakupasa ujue mke sio starehe ya Papuchii mke ni zaidi ya Tendo Hilo.

Kama ukiwa na ufahamu huo kwamba mke sio Tendo la ndoatu basi ndoa yako itadumu.
Asante kwa mchango wako, lakini nasikitika kukuambia kwamba umesoma premise moja na kuifanyia conclusion!
 
Aa

Atakuwa mjamzito. Kapime nae ujauzito. Maana wengi huwa wanabadilika na kuchukia kabisa. Iliwahi nitokea hii. Na jamaa yangu naye ilimkuta akataka kumuacha mkewe, ila baada ya kujifungua mkewe kaonyesha upendo kuliko. Kawaida.
 
Aseeee hiyo ni Hali mbaya haswa kwa watu ambao mpo kwenye ndoa ambao mmesha idhinishwa kuwa mwili mmoja! Sas kama hataki kujenga Amani huyo Kuna kitu amefata kwenye hiyo ndoa, ukishindwa Sana kutokana na ushawishi wako ongea na washenga wako, waambie tokea umeoa huyo mwanamke hataki kutoa tunda la roho, mbaya zaidi muda wote anakuwa ni mtu wa kununa Bila sababu na kutoa sababu za uwongo! Inamaana washenga wako wataenda kuongea na wazazi wa binti, majibu yatakayo rudi yapime inawezekana huyo mtu amekuja kwako kwa missions maalum azingue mgawane Mali,, mambo yakiwa magumu zaidi mwambie akasalimie kwao hrf akiondoka usimfate na wala usimpigie simu, kwao wakikuhoji wajibu kwamba utamfata! Kama kimya asikupotezee Amani yako
 
Ulifikiri kutoa hela ya matumizi na kushiriki tendo iyakufanya uweze kuoa?
Ndoa ina mengi ina mazagazaga mengi. Kama hujajiandaa nayo ndiyo itakavyokuwa. Pole sana. Hakuna rangi utaacha kuiona.
 
Ulifikiri kutoa hela ya matumizi na kushiriki tendo iyakufanya uweze kuoa?
Ndoa ina mengi ina mazagazaga mengi. Kama hujajiandaa nayo ndiyo itakavyokuwa. Pole sana. Hakuna rangi utaacha kuiona.
Mpe semina dogo usimkatishe tamaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…