Uzuri waislamu wengi wao wamewadharau. Wengi wa waliouwawa ni waislamu kuliko hata hao wakristo.Mshana Jr usiogope hata kidogo, usiogope vita unapopigana na Mtu asiye na akili... Hawa hawana akili.
Mgogoro wa Dini unakuwa una nguvu pale unapokuwa na msingi wa kijamii ila sio hivi wavyofanya.
Pia mgogoro wa Dini inabidi uwe ideological zaidi
Hata mahakamaani ndugu waliokuja kwenye kesi wengi na baraghashia kichwani! noma sanaUzuri waislamu wengi wao wamewadharau. Wengi wa waliouwawa ni waislamu kuliko hata hao wakristo.
https://www.facebook.com/Mshana Jr tumekubaliana hatutanunua wala kukubali kuuziwa tena bidhaa inayoitwa hofu, uoga wala wasiwasi.
Next time ukiandika Uzi wako usitumie neno kuogopa tafadhali.
Moderator na wote tukubaliane ilitokea yeyote anauza na kutangaza bidhaa ya hofu au uoga kama ni platinum member aonywe akikaidi avuliwe heshima ya kuwa platinum member. Na kama ni expert member ifanyike vivyo hivyo abakie kuwa member tu.
Neno USIOGOPE limeandikwa zaidi ya mara 365 katika baadhi ya vitabu vya maandiko vinavyoaminika na wengi.Ninachoogopa dini ni imani sasa kukiahakuwa na.mgogoro wa dini sikubzote kitu kidogo kitaonekana kikubwa kisicho na uzito kitachukuliwa kwa uzito MUNGU asimame na sisi tu atuepushe na haya yanagoendelea kwa hawa viongozi wa dini zote mbili awe muislam awe mkristo.
Lengo lilikuwa hili la kukufikisha hapa kwenye kuogopa πππNimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Walianza na figisu za kawaida
Wakaja na siasa majitaka
Wakaanza kurubuni wapinzani
Wakaanza kubambikia kesi
Wakawa wanateka
Wakawa wanateka na kupoteza watu
Wakawa wanaua.. Na kilele cha mauaji kikawa tar 29.10. Mpaka tar 3 November 2025.
Mpaka hapo wakazani wameshafanikiwa kuuza hofu.. Lakini wali ndio kwanza kama wamechokoza nyuki
Pengine walifadhiliwa mabilioni ili wakirudi kwenye power walipe fadhila kupitia rasilimali za wote..Sasa kitisho ni dhahiri. Wanaona wazi hawana pa kuchomokea
Kulinda maslahi yao na ya wafadhili wao ni wao kubakia kwenye power.. Hii ndio salama yao
Waliokwisha onja utamu wa maliasili lukuki za taifa hawako tayari kupokonywa tonge mdomoni.. Wako tayari kufanya lolote na chochote alimradi tu waendelee kuzifaidi
Hii kete ya udini ndio kete ya mwisho na hatari kuliko nyingine zote! Wameanza kea kasi kubwa na ya ajabu kupenyeza hiyo sumu kwenye jamii kupitia wachache wasiojutambua
Tunahitaji kudra kubwa za Mwenyezi Mungu tusije kufika wanakotaka kutufikisha.... ππππ―
Neno USIOGOPE limeandikwa zaidi ya mara 365 katika baadhi ya vitabu vya maandiko vinavyoaminika na wengi.Ninachoogopa dini ni imani sasa kukiahakuwa na.mgogoro wa dini sikubzote kitu kidogo kitaonekana kikubwa kisicho na uzito kitachukuliwa kwa uzito MUNGU asimame na sisi tu atuepushe na haya yanagoendelea kwa hawa viongozi wa dini zote mbili awe muislam awe mkristo.
Kama lengo lao ni kukufanya uogope na umetambua hilo tu tayari wameshafeli na wewe umeshinda.Lengo lilikuwa hili la kukufikisha hapa kwenye kuogopa πππ
Fear nothing but Fear itself.