PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
sio nimeelewa kwa mujibu wako?

Bwana "mwerevu" unae hangaika na kilaza
 
Mi siogopi vita, wacha ije tuianze mapema tuimalize mapema.

Vita ya dini mmewahi kuiona wapi dunia hii?

Vita ni vita haipigwi dini bali watu, tuanze kama ipo.

Itatufungulia mlango kupigania na mengine.
 
Kwa Tanzania udini sidhani kama ni kete, tuko very well intergrated, tuna dini tofauti lakini tunaheshimiana sana. Kwa Tanzania wamechelewa. Hii ilikuwa Siraha miala ya 70 na 80 huko
 
Mi siogopi vita, wacha ije tuianze mapema tuimalize mapema.

Vita ya dini mmewahi kuiona wapi dunia hii?

Vita ni vita haipigwi dini bali watu, tuanze kama ipo.

Itatufungulia mlango kupigania na mengine.
Mkuu Ombea amani vita isikie tu kwenye vyombo vya habari.

Hapo Oktona tu wiki nzima hata mashine hazidindi. Ni hatari haifai kabisa
 
Bakwataccm ndiyo wanaongea udini na propaganda mbalimbali za udini, Bakwataccm ndiyo Sumu ya Amani Haki na katiba mpya
Huo ni ukweli, lakini si bakwata peke yake.

Ni bora bakwata inajulikana wazi kuliko wale wasio fahamika
 
Ni mmoja kati ya watu wapuuzi kabisa niliowahi kujibishana nao humu JF.
Huyu jamaa Ajuae_26 eti ndio miongoni mwa wale vijana wa kiislamu ambao wanategemewa kumtetea Samiya kwa hoja na kuwashawishi watu waone samiya anaonewa.

Hoja zake zenyewe sasa, ndio kama hivyo za kuhalalisha ushetani wa samiya kwa kutaja taja upuuzi uliokuwa unafanywa na Magufuli.

Yaani ni kama vile anatulazimisha kutukubaliane na ushatani wote unaofanywa na samiya kwa sababu hata mtangulizi wake pia alifanya, sasa ni akili hizo au upumbavu tu?

Kuna post hapo alalamika kwanini Tec walisapoti hoja ya maridhiano baada ya uchaguzi wa 2020 ila sasa hivi wako kinyume na maridhiano anayotaka samiya?

Yaani anashindwa hata kuona kuna utofauti mkubwa sana wa hizo scenarios mbili, hivi uchaguzi wa 2020 ulituacha na vidonda vikubwa kama huu wa mwaka huu?

Unawezaje kusapoti maridhiano kwa serikali ambayo imeua watu zaidi ya 10,000 wasio na hatia? Si ni wehu huo?

Huyu Ajuae_26 hana tofauti na wale wapumbavu wenzie wa juzi waliosema watachinja chinja watu hiyo tarehe 9 december, ni muislam mwenye akili mbovu sana ambaye anaona kama adui mkubwa wa taifa hili ni TEC na sio maovu yanayofanywa na serikali ya samiya
 
Huo ni ukweli, lakini si bakwata peke yake.

Ni bora bakwata inajulikana wazi kuliko wale wasio fahamika
Kwa hiyo kumbe unakili BAKWATA ni taasisi inayokumbatia na kueneza chuki za kidini sio?

So unachotaka ni kwamba hata hao wengine wajitokeze hadharani na kuanza kuwashambulia BAKWATA kwa hasira hili ngoma iwe droo na nafsi yako ifurahi eti?

Wewe jamaa huna akili kabisa na kama una familia, basi familia yako ina baba wa ovyo sana.
 
Kelele huko Sudani na Congo zimeisha? Ila Rwanda na Uganda kumetulia sana. 😂😂
Sudan na Congo hawana vita ya kidini, Sudan zaid ilikuwa ubaguzi wa rangi.

Lakini bado wanapigana, wakimaliza heshima utarudi.

Vita ni vita tu, wacha wailete.
 
Usipoteze muda kujadili mtu/watu

Kama kuna jambo litawapa wakati mgumu na kushindwa ni kuendelea ku-focus na SSH na kuweka plans zenu kwa kumtazama yeye.

Just to let you know, dont care hata mkiweza mtoa kesho, though sioni hilo.
 
Hakuna taasisi ya dini isiyo tumiwa na CCM, ndicho nilicho sema.

Bakwata haikuundwa na serikali kueneza udini, wenye kufanya hilo mnawajua vyema au hamtaki kuwaona.
 
Wapuuzi sana wanatumia mbinu bila kuangalia madhara wanayoweza kuleta, hivi hawa kikichafuka wataweza kubeba ndugu zao wote wa ukoo wao wakaishi nao huko mbali? Akili za hawa watu hata Wanyama wana nafuu

hicho mnachokifanya nyinyi mumeangalia madhara mnayoweza sababisha?
 
Usigope! Itafeli tu hata hii, uzuri genzee hawaamini kwnye hizi dini zilizokuja kwa majahazi naintini kweusi! Ni wazee tu ambao nao wanaishia sasa, kinakuja kizazi kipya kabisa kisichoamini kwenye mauongo haya!

PUMBAV kabisa, halafu unajiona mjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…