Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
likigeuka gari omba funguo upande hiyo gari
Exteme lies...! Don't take JF members for grantedWakuu,
Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au pikipiki, ugeuka na kuwa msichana mrembo sana, ugeuka na kuwa fuko la pesa, ugeuka na kuwa simba au nyati, kikubwa zaidi kila nikijaribu kuitupa inagoma kabisa kutoka ndani.
Nahitaji msaada wenu
Kabisa matumizi ya pesa hapo hapaLikigeuka fuko la pesa patia miss chagga
Nimekimbizwa na nyoka aina ya KobokoAcha uongo bhanaaa!!!
Kadanganye facebook
soon itageuka na kuwa MUME WAKO WA NDOAWakuu,
Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au pikipiki, ugeuka na kuwa msichana mrembo sana, ugeuka na kuwa fuko la pesa, ugeuka na kuwa simba au nyati, kikubwa zaidi kila nikijaribu kuitupa inagoma kabisa kutoka ndani.
Nahitaji msaada wenu
Wakuu,

Koo.. Bitoz unatak kusema ni mambo ya kweli ayo...?
Mwenye akili ameelewa namaainisha nini hapoKoo.. Bitoz unatak kusema ni mambo ya kweli ayo...?
unataka kunizid IQ but nisha kuelewaaMwenye akili ameelewa namaainisha nini hapo
Jamaa huyo ni full fix...kila siku jini jini .....ndo niliyokuwa namaainisha jombaunataka kunizid IQ but nisha kuelewaa
Ngoja igeuke u'ume itake mechiWakuu,