Nimeokota cheni ya kijini na kichawi

Nimeokota cheni ya kijini na kichawi

Wakuu,

Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au pikipiki, ugeuka na kuwa msichana mrembo sana, ugeuka na kuwa fuko la pesa, ugeuka na kuwa simba au nyati, kikubwa zaidi kila nikijaribu kuitupa inagoma kabisa kutoka ndani.

Nahitaji msaada wenu
Exteme lies...! Don't take JF members for granted
 
Acha uongo bhanaaa!!!
Kadanganye facebook
 
Wakuu,

Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au pikipiki, ugeuka na kuwa msichana mrembo sana, ugeuka na kuwa fuko la pesa, ugeuka na kuwa simba au nyati, kikubwa zaidi kila nikijaribu kuitupa inagoma kabisa kutoka ndani.

Nahitaji msaada wenu
soon itageuka na kuwa MUME WAKO WA NDOA
 
Wakuu,

Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au pikipiki, ugeuka na kuwa msichana mrembo sana, ugeuka na kuwa fuko la pesa, ugeuka na kuwa simba au nyati, kikubwa zaidi kila nikijaribu kuitupa inagoma kabisa kutoka ndani.

Nahitaji msaada wenu

Ugeuka=hugeuka
 
Ipeleke TAKUKURU... inaweza ikageuka rushwa hiyo...
 
Nenda.kanisani.kesho.kwa.pastor katunzi kanisa liko mtoni mtongani ,juu.inapita reli chini.barabara hapo kuna.kanisa ukiswma.pastor katunzi,umefika nakwambia hilo.jini.litahama ibada.kuanzia saa tatu,ila.kilasiku yupo.kanisani utapata.msaada wa ukweli ni bure nakwambia kweli kabisa...
 
Wakuu,

Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au pikipiki, ugeuka na kuwa msichana mrembo sana, ugeuka na kuwa fuko la pesa, ugeuka na kuwa simba au nyati, kikubwa zaidi kila nikijaribu kuitupa inagoma kabisa kutoka ndani.

Nahitaji msaada wenu
Ngoja igeuke u'ume itake mechi
 
Back
Top Bottom