Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

Nimemueleza kosa lake na huyu dada kakiri tamaa imemponza,mbaya zaidi katika charts zaoinaonekana hawajafanya chochote ila huyu dada kaombwa kinyume na maumbile na kaahidinkumpa jamaa!
Hakikisha anakupa pesa nyingi sana ndipo umrudishie hiyo Simu na kumkanya juu, ikikupendeza mrapue hata vibao vitatu hivi kisha aende zake. Hakikisha unamkandamiza hadi ajifunze ili siku nyingine akitaka kufanya jambo kama hilo afikirie Mara tatu tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Kama mpo likizo bas muwe mnaspitia notes mlizopewa huko mashulen had mtakapofungua shule
 
wewe una hamu ya kuliwa ..071covid20.......unafanya mambo ya kitoto kabisa.....
 
Ss si mngemalizana tu? Kelele huku ni za nn? Halafu kuwa makini hiyo simu mwenyewe itakuwa keshachukua RB kaibiwa. Na hapo huyo mwalimu inawezekana keshawasiliana naye kuwa unamblack mail upate pesa. Kuwa makini sana maana inaonekana u mzito kufikiri hatari uliyo nayo.
 
Kuna Cyber Crime Act bandugu!
 
Unapaswa kurudisha simu kiungwana tu. Mimi nimeokota sana smart nakiri zote nimezirudisha. Ila mimi cjawahi kurudishiwa smart zangu mbili nilizoangusha
 
Jamani dada zetu msikubali kupiga ama kupigwa picha za utupu. Kama kweli anataka picha yako nawe muombe yake ya utupu. Akikataa nawe kataa. Tena muonane mpigane hizo picha. Narudia dada zetu msipigie wala kupigwa hizo picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…