Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

COVID 20

New Member
Joined
Apr 6, 2020
Posts
3
Reaction score
19
Mambo zenu ndugu zangu

Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa picha za utupu na mke wa mtu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi na ambaye mme wake yupo kikazi Bonde la Ngorongoro

Nimemjulisha huyu dada kuhusu picha yake ila kasema yupo radhi tukutane anipe pesa ili niifute. Wakati wengine wanapiga picha wakiwa wameficha nyuso zao huyu dada kapiga mwili mzima! Sijui alimuamini vipi huyo jamaa? Dada zetu mnakwama wapi?
 
Hukutakiwa kumtafuta mwenye picha na badala yake ungemtafuta mwenye sim. Hapo umeshamharibia jamaa na mwanamke atakua hajiamini maana anaweza kuhisi mmejifowadia picha hizo na kuzitumia kumchota vijisenti kila mkichacha.
Nimemueleza kosa lake na huyu dada kakiri tamaa imemponza,mbaya zaidi katika charts zaoinaonekana hawajafanya chochote ila huyu dada kaombwa kinyume na maumbile na kaahidinkumpa jamaa!
 
Sikuizi nyuchi zimekuwa pua na mdomo tuna zificha kwa barakoa siyo hizo za chini

Send by APOLO 1
 
Nimemueleza kosa lake na huyu dada kakiri tamaa imemponza,mbaya zaidi katika charts zaoinaonekana hawajafanya chochote ila huyu dada kaombwa kinyume na maumbile na kaahidinkumpa jamaa!
Wewe rudisha Simu ya watu acha tamaa za wanawake inaelekea mzuka umekupanda baada ya kuona hiyo picha ukaona bora ujifanya mshauri nasaha kwa huyo ticha ili umle

Send by APOLO 1
 
Hiyo simu umeiokotea maeneo gani mbona kama vile aliyedondosha simu unamjua? Bas kiroho safi tu mrudishie jamaa simu yake.

My take: Uzi wa kula tunda kimasihara assume hujawahi kuusoma na yaliyomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi jitumie hiyo picha, chukua namba yake ya simu na nyingine zilizopo kwenye simu, mpigie mkutane akupe hela umrudishie simu halafu akiondoka tu, unamrushia picha hiyo hiyo halafu unamwambia aongeze dau kidogo usiisambaze kwa ndugu,jamaa na rafiki zake wote, rudia zoezi mpaka ujue thamani ya uchi wake ni bei gani
 
naona kuna mtu atakula tunda kimasikhara kisa hiyo picha
 
Back
Top Bottom