kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Asante mkuu kwa taarifa. Ungeongezea details kidogo labda ni vyeti vya namna gani,uliviokota wapi etc etc.
...mleta taarifa lazima ni mwana chadema tu...
ha ha ha haa anafaa kua mbunge huyu!
True! Ingekuwa gamba lingeuchuna.
Hivi kwa mfano wale walioingiziwa Mabilioni ya Escrow wangekuwa na moyo kama huyu mtoa mada na kutangaza jamani kuna hela zimeingizwa kwa bahati mbaya kwenye account yangu ingekuwaje? Matokeo yake wao wamezichukua na kwenda kununulia MBOGA na DAGAA KAUZU.