kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Hivi kwa mfano wale walioingiziwa Mabilioni ya Escrow wangekuwa na moyo kama huyu mtoa mada na kutangaza jamani kuna hela zimeingizwa kwa bahati mbaya kwenye account yangu ingekuwaje? Matokeo yake wao wamezichukua na kwenda kununulia MBOGA na DAGAA KAUZU.