Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Mfanyie yafuatayo;
1. Mpatie chakula na maji ya kunywa,
2. Mpatie maji na sabuni aoge,
3. Mvishe nguo,
4. Mpeleke kanisani mkamuombee na waumini wenzako, na mwisho,
5. Mpatie fedha za kujikimu.

Utaona matokeo....! Na hapo ndio utakuwa umempenda sawasawa...!
 
Mme hawezi kusoma humu akakonekti Doto...........
 
Mariana nianze kwa kukupa pole. Pili tafiti zinaonyesha kuwa kila mtu ni kichaa tofauti ni kiwango "degree" jamaa anayekurusha roho ni kichaa na umemtamani baada ya kumwona akiwa uchi na ukubwa wa sehemu zake ndo zimehusika. Watu hutamani au hutamanishwa kwa kupitia milango mitano ya fahamu yaani kuona, kugusa, kunusa, kusikia na hata kulamba. Kwa mujibu wa Sigmund akili za binadamu huongozwa na mambo matatu "Id, Ego na Superego" Id ndo ya kuzaliwa nayo na ndo baba wa tamaa zote na hiyo ya kwako. Pamoja na tafiti nyinginezo na wewe kwa kumtamani kichaa na ukiwa na mmeo na kila siku wamwaza hadi naye kakugundua hadi ameanza kukufuata home wewe pia una u kichaa na ukivuka kiwango hicho utaingia kwenye kundi jingine lenye jina nympomanic na hii ni hatari kwa mwanamke . Cha kufanya wahi kwa daktari wa afya ya akili na utapewa msaada. Mko wengi ila we ndo umejitokeza jf wenzio hujiunga na makunďi ya dada poa. Na kwa taarifa yako si dada poa wote wana ugumu wa maisha wengine ni hali km hizi.
 
kwa hiyo wewe hujawahi kutoa tuzi, i mean tigo...kuwa honest 2 maana hamna anaekufahamu humu jf miss chagga
 
Kunauwezekana anaye dhaniwa kuwa chizi sio chizi na anae onekana mzima ndyo chizi.
Uigizaji hauna mipaka ukiona umempa alafu akapona ujue mission successful.
 
dude i feel you, yaani dah pamojamna kwamba kila situation ni unique ila numbers don't lie maana yake kama asilimia kubwa ni majanga ina maana hata ww ukioa ni hivyo maana jamiimtunayoishi ndio hii hii.Wacha niendelee kuwa boyfriend tukwa muda...japo wenyewe wana push hao wanataka kuolewa balaaa.

d
 
Ebu jaribu kuuliza vizuri familia yako kwa maana ndugu zako, inawezekana na wewe uliwahi kuwa kichaa! Hvy hauna budi kumpenda mwenzio
 
Mgh kazi ipo Saaaaana tu, we mpe make huwezi shindana na moyo wako. Halafu jiandikie talaka kabisaa na aibu juu na kuaibisha kanisa...
 
Tafuta vijana wape kazi ya kumkamata wamuogeshe wamnyoe vuzi wamkate nywele wiki nzima wafanye hivyo kisha wampake mafuta saafi ukiridhika msafi na wewe jipake mafuta huko chini mvammie mbakeee hakikisha haupo siku hatari kuepuka mimba hakikisha unatumia kondomu maana wengine wamepata vichaaa baad ya kugundulika wana ukimwi...
 
Nipe nikupe.. Raha tupatee.. Njoo upate Mambo Matamu Toka Kwangu.

Mpe K akupe M.
 
Ni kweli au uliota?

Hilo ni tatizo la kusolve KIROHO...huyo ni shetani anataka kukutoa katika mstari mzuri na kukuharibia ndoa na maisha yako kwa ujumla. Kichaa gani anakuita kwa ishara hiyo na zaidi kukufuata hadi getini?

Jiimarishe zaidi kwa Mungu wako kwasababu yeye HAJAWAHI KUSHINDWA.

"Tamaa Huzaa dhambi, Dhambi ikikomaa huzaa Mauti" kuwa makini na ndoa yako.
 
Ndoa inakatisha tamaa sana,mimi nilitamani na kupanga kabisa iwe mwaka jana ila nikawa disapointed,na sasa nategemea labda 2018.
 
"Tumesamehewa Dhambi na si Majaribu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…