Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Aisee wanandoa wanabeba siri nzito sana.
 
kitu kimoja Ni hakika katika hii stori, shemeji yetu ana maumbile madogo na Kichaa ana maumbile makubwa
 
Hovyo kweli we dada na tamaa zako za mwilini...usitumie Jina la Yesu km kichaka chako chakuficha roho zako za BABELI...Wewe ni SHETANI KATIKATI YA UZAO WA KIBINADAM..Biblia inasema UTUKUFU JUU MBINGUNI NA AMANI IWE DUNIANI KWA WATU WALIORIDHIWA....Dada hujaridhiwa na Yesu wala huna hadhi yakuitwa mtoto wa Mungu...kwani Mungu hapendi watoto wajinga..na ndio maana ninaujasiri wakusema huo ulio nao sio mtihani wala jaribu...hilo ni asili yako na uzao wako lazma mfanye hivyo..na ukifanya wala hutakuwa na dhambi kwasababu umetimiza ibada yako halisia.

Jambo jingine naomba kukukanya...usirudie tena kuita Neno SHALOOM...hili ni Jina la Mungu pekee...na halitajwi ktk uchafu wa namna hii..Biblia imeandika KILA ANAYE LIITIA JINA LA BWANA NA AACHE UOVU.huna sifa yakuitwa mwana Wokovu Wala kujiita UMEOKOKA.
 
We naona una roho mtaka vitu hahahaaaaaa muite akusukumie nyama
 
Ipende ndoa yako kama Yesu kristo alivyolipenda kanisa.

Ati umeokoka?...no huko umejificha wewe
 
kuna wakati utachoka kuwa "boyfriend" utatamani uitwe mume a.k.a baba! hapo ndipo utamu utakapoanza kuucheza
 
We mwenyewe mbovu unatafuta mke mwema wa nini?unaogopa wanawake kwani wote wapo sawa?mbona we short coming kibao hapo bado watu wanakuvumilia?we sio muoaji kaa kando,

sawa "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. Unawajua wanawake wewe? au umewekwa kwenye chupa!
 
Mwombea naye huyo kichaa aokoke...
Mkuu umenifanya nicheke!!!# sasa atamwombeaje wakati ameshatamani ukuni wake!!! Akipiga goti akafunga macho atawaza kuomba au picha ya huo ukuni aliodai una kichwa kikubwa itamjia!!!?#na atashindwa kufocus.
 
Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Huyu mwenzetu kajipambanua bayana na kuonyesha nini anapitia. Waliolewa dini wanamsakama pasipo sababu yoyote. Kila siku nasema "hakuna alie Mtakatifu wala mdhambi", sisi tupo sawa.

Nakushauri dada yangu tafuta maarifa ili jaribu hili ulihishinde. Umefanya maombi sawa lakini waone na wataalam wa masuala ya saikolojia.

Epuka kupita hiyo njia na ikiwezekana badili ratiba.

"Bwana usitutie majaribu lakini utuokoe na yule mwovu "
 
Una kauzoefu cha google.. Nadhani at a kupm soon
 
Kapime akili dada Kezia, inawezekana wewe ndio Kichaa kuliko huyo unayemtamani. Maana huku unakoelekea sitoshangaa siku ukituletea mrejesho kwamba umejikuta ukisimamisha gari na kwenda kuunyenyekea huo Uume unaokutoa mate MKE wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…