Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

huu mwaka natamani sana nioe!, ila ninapokutana na threads kama hizi huwa nachoka na kuregea kabisa. Sijui niarishe tu! kweli naamini TUNAOA KWA IMANI kama tulivyopokea wokovu! lasivyo mbele hatusongi!!!!. Nyeti hazina ukichaa: ukichaa wa mtu ni baadhi ya viungo tu! na wala si viungo vyote vimeathiriwa. inavyoonyesha kama umefuga nguruwe huko kwako basi utakuja kumtamani hata nguruwe kwakuwa ana dudu ndefu!!!!!!
Hii imenigusa
 
Ndio tatizo la wanawake hawaridhiki yaan badala ya kujenga maisha anawaza ngono! hiv lait ungemkuta mmeo anafanya uwazayo ungejifikiriaje! anyway hata ww sio mlokole what ur doing its not fair! naamin kama ukifanya mungu atakulipa hapa hapa dunian na kamwe hutomwacha huyo kichaa umtakaye!
 
Huyu Hana cha kichaa wala not... Anatafuta mwanamme mwenye dudu refu na kichwa kikubwa... Kama unalo na umempenda mwendee PM mmalizane.... Lkn ujue mwanamke huyo ana pepo wa ngono.
 
Duh! ila Binadamu tumeumbwa na Tamaa... maana hata House girl mgeni akija mwanzo huonekana mbaya ila siku zinavyozidi kuendelea house girl anakuwa mzuri japo kiukweli huwa yupo vile vile... Sasa huyu mke wa mtu katamani dushe... ila atambue siku akijilegeza ajue na ndoa imeisha vichaa wana wivu mno anaweza hata kuua maana ataona ni wake huyo... na siku akimpa ni mimba hapo hapo...
 
Hii kali ya mwaka aisee!umeniacha hoi kbs nimeshindwa hata kushaur au kufanya nini nimebaki nakutafakari mlokole wewe duuh
 
Mi nadhani kinachokuchanganya ni hicho kichwa
kikubwa cha naniliu.
Na shetani ameijua haja yako
anataka akuaibishe siku moja kama hutachukua hatua
badilisha njia,na ujizuie kumuangalia endapo utapita njia hiyo.
 
Wapo waliowahi kumfukuza kichaa asije nyumbani kwao, kumbe wanamfukuza Yesu, sasa nahilo lipime ukiona vipi mhudumie huwezi jua.
 
Ww bado hujampokea Yesu bali ni msaliti wa Yesu bado unayafufua madonda ya Yesu msalabani na ndio maana siku zote huwa nawapinga sana hawa wanajifanya wamempokea Yesu ndani ya mioyo yao kumbe ni wazandiki wakubwa sana sawa na Mafarisayo machoni mwa watu ni wanakondoo wema lakini mioyo yao imejaa laana tupu nakushauri achana na hili neno la kwamba umempokea Yesu bali sema ww ni mfuasi wa shetani.
 
Wadau shalom,

Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda Yesu.

Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo moja halijaisha ni kama halina wakazi vile, ila hukaa kichaa mmoja anaekula majalalani na kushinda uchi, na hapo ndio njia yangu ya kupita kila siku, kila nikipita hapo hasa jioni sana nikitoka kazini huwa namkuta kichaa huyu akiwa anajichua bila aibu, anatema mate mkononi na kujipaka nyeti huku akilia kwa sauti kubwa.

Sasa nimeshtukia nashikwa hamu na hisia kali za kutaka kukutana na kichaa huyo, hasa nikimuona uchi, maana ana nyeti kubwa mno zenye kichwa kikubwa mno, hali hii inaweza kunikuta hata nikiwa kazini endapo nitamuwazia yule kichaa.

Sasa sijui ni kwasababu ya kumtazama sana au la nimeshtuka kumuona akianza tabia ya kuniita kwa ishara na kunioneshea nyeti zake, haishii hapo ameanza kufika na kwangu na kugonga geti, wakienda kufungua wanakuta ni yeye na haongei chochote anasimama tu hapo hata saa nzima ndipo anaenda na ni kila siku, mr anasema muacheni tu kwani ana madhara gani.

Ile hali ya kumtamani ndio naona kama inazidi siku hadi siku.

Je hili ni pepo au nini?Nimeomba sana lakini wapi.

Nifanye nini kuondokana na hali hii? Ili isije ikaleta matatizo yasiyotarajiwa.Nimeamua kulileta huku hili tatizo maana huku hamna kufahamiana.

Asanteni
umesema ana nyeti kubwa zenye kichwa kikubwa, na huwa unamwangalia tangu anaanza hadi anapiga makelele umekodolea tu mimacho, ungekuwa mwanamke wa staha ukiona uchi wa oposite side huwa tunageukia pembeni na kuondoka, ila wewe unakodolea mimacho na pengine unaangalia kupitia dirishani. vilevile, unaposema ubooo mkubwa, unatuambia kwamba mumeo anao mdogo na kichwa kidogo ndio maana umeutamani wa huyo kichaa. umemdhalilisha bwanako sana aisee kama kweli umeolewa.
 
Mapepo yana njia nyingi ya kukuvurugia maisha yako sali sana usiingie majaribuni
 
Pole sana dada, kumbuka macho yatatupeleka wengi motoni.

USHAURI: Jaribu kubadilisha njia kama kuna uwezekano. Mungu akubariki
 
Wadau shalom,

Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda Yesu.

Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo moja halijaisha ni kama halina wakazi vile, ila hukaa kichaa mmoja anaekula majalalani na kushinda uchi, na hapo ndio njia yangu ya kupita kila siku, kila nikipita hapo hasa jioni sana nikitoka kazini huwa namkuta kichaa huyu akiwa anajichua bila aibu, anatema mate mkononi na kujipaka nyeti huku akilia kwa sauti kubwa.

Sasa nimeshtukia nashikwa hamu na hisia kali za kutaka kukutana na kichaa huyo, hasa nikimuona uchi, maana ana nyeti kubwa mno zenye kichwa kikubwa mno, hali hii inaweza kunikuta hata nikiwa kazini endapo nitamuwazia yule kichaa.

Sasa sijui ni kwasababu ya kumtazama sana au la nimeshtuka kumuona akianza tabia ya kuniita kwa ishara na kunioneshea nyeti zake, haishii hapo ameanza kufika na kwangu na kugonga geti, wakienda kufungua wanakuta ni yeye na haongei chochote anasimama tu hapo hata saa nzima ndipo anaenda na ni kila siku, mr anasema muacheni tu kwani ana madhara gani.

Ile hali ya kumtamani ndio naona kama inazidi siku hadi siku.

Je hili ni pepo au nini?Nimeomba sana lakini wapi.

Nifanye nini kuondokana na hali hii? Ili isije ikaleta matatizo yasiyotarajiwa.Nimeamua kulileta huku hili tatizo maana huku hamna kufahamiana.

Asanteni
kwahiyo mwanaume wako ana uboooo mbodo na wenye kichwa kidogo sio kikubwa kama kile cha chizi.hahahaha.
 
Nenda kamwambie Mchungaji akuombee mwaya,majaribu humfuata alie okoka ili aweze kuanguka..ungekuwa hujaokoka wala hata usingemtamani coz roho wa uzinz ni wako anakuwa anakufanya uende kwa hadhi zako..pole.
 
Usiwasikilize hao nenda kagegeduke nae tu naye binadamu pia !we chelewa aje kubaka wanao!mpe uroda!
Ila mumeo akipitia huu uzi umekwisha!
 
Back
Top Bottom