Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Umesema anayo ya kukutosheleza, basi mpe ili ulizike but fanya mara moja
 
Kichaa ana dushe limechanua mbele kama la farasi, hapa kikwangulio cha Maasai hakioni ndani.
 
Simama vizuyri kwenye maombi hilo ni jaribu la ndoa yako,na huyo ni ibilisi anataka kukuharibia maisha yako, pia fikisha kanisani kwa mchungaji naamini atakuombea zaidi na pia utaondokana na hilo jaribu, simama imara katika ndoa yako usiruhusu kitu chochote kiharibu ndoa yako, kingine uzidishe mapenzi kwa mumeo na ikiwezekana mpe kila siku ili upunguze hisia maana yeye ndo mwanaume uliepewa na Mungu.
 
Huku jf wakati mwingine Kama hadithi vile daaaah sijaelewa kabisa,sasa huyo kichwa tu unataka kuachana na ndoa akija mzima Kama Mimi si ndo utaachana na yesu na ndoa itakuwa mwisho
 
Kuna mtunzi aliandika "huwezi kujua kuhusu mwanamke "kiukweli nyinyi ni viumbe vya ajabu kabisa.
 
Ndio maana vijana wanawatenda tu.vijana hawaoi.mambo kama haya nani ataoa mtu kichwa kichwa.
 
mmmh! jamani unamtamani kichaa! sasa wewe mwenzetu "genye" zako zimevuka mipaka hadi mabara ya mbali
 
Nenda kamwambie Mchungaji akuombee mwaya,majaribu humfuata alie okoka ili aweze kuanguka..ungekuwa hujaokoka wala hata usingemtamani coz roho wa uzinz ni wako anakuwa anakufanya uende kwa hadhi zako..pole.
amwambie mxhungaji? ni wa kiume au wa kike kama wa kiume bora ukae hivyo hvyo
 
Back
Top Bottom