Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Mimi naona huyo ndio mume wako ukiyepangiwa. Akuoe lkn huyo uliyenaye kwa sasa ni wa muda tu ama atapata tatizo au kupotea kabisa,na hapo ndio huyo chizi atakapopona na kuamua kukuoa wewe ,elewa wewe ndio unamiliki dawa ya huyo kichaa, papuchi yako ndo dawa mpe uone kama hatapona usiniite kwa jina langu
 
Hâta mwehunana haki
Hafu kwenye hayo mambo wanakuwaga active kama sio vichaa, ndo tuulize mchanganuo wa akili ya kichaa, inayowehuka ni ipi na kwa nini nyingine iwe na sense
 
Khe kheee kheeee mgegedo wa kichaa umezua jambo.

Wadau shalom,

Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda Yesu.

Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo moja halijaisha ni kama halina wakazi vile, ila hukaa kichaa mmoja anaekula majalalani na kushinda uchi, na hapo ndio njia yangu ya kupita kila siku, kila nikipita hapo hasa jioni sana nikitoka kazini huwa namkuta kichaa huyu akiwa anajichua bila aibu, anatema mate mkononi na kujipaka nyeti huku akilia kwa sauti kubwa.

Sasa nimeshtukia nashikwa hamu na hisia kali za kutaka kukutana na kichaa huyo, hasa nikimuona uchi, maana ana nyeti kubwa mno zenye kichwa kikubwa mno, hali hii inaweza kunikuta hata nikiwa kazini endapo nitamuwazia yule kichaa.

Sasa sijui ni kwasababu ya kumtazama sana au la nimeshtuka kumuona akianza tabia ya kuniita kwa ishara na kunioneshea nyeti zake, haishii hapo ameanza kufika na kwangu na kugonga geti, wakienda kufungua wanakuta ni yeye na haongei chochote anasimama tu hapo hata saa nzima ndipo anaenda na ni kila siku, mr anasema muacheni tu kwani ana madhara gani.

Ile hali ya kumtamani ndio naona kama inazidi siku hadi siku.

Je hili ni pepo au nini?Nimeomba sana lakini wapi.

Nifanye nini kuondokana na hali hii? Ili isije ikaleta matatizo yasiyotarajiwa.Nimeamua kulileta huku hili tatizo maana huku hamna kufahamiana.

Asanteni
 
Acha kuutazama uchi Wa mwanaume ambaye siye mmewako......kaa nae mbali
 
mama unakoelekea ni huyo kichaa kukubaka kuwa makini ... kusali tu haina maana kama utakuwa hufanyii kazi maombi yako nikiwa na maana kama ukiweza badili njia kama haiwezekani ukipita hiyo njia usimwangalie hayo maungo yake {imani bila matendo si kitu}... mapenzi ni akili acha kumfikiria huyo kichaa jitahidi uwezavyo kuondokana na hiyo hali....... kama ikiwezekana mshirikishe mumeo kuwa kuna kichaa anakuja hapo home mara kwa mara na anakuonyeshea dudu yake ila usimwambie kuwa unaitamani.................

ila unatatizo inaonekana mumeo hakukuni vizuri sorry ila jaribu kuwa unamsex mumeo ili wewe uwe unafika kileleni kaa juuu akikaraibia kucum tuliza mzuka mapaka wewe ufike itakusaidia ..... mengine ni machungu au mwombe mwenzio mfanye kwa namna utakayo ridhika wewe ... usiweke ulokole kwenye lile tendo fanyeni mpaka mshibe kabisa
Mama Temba daah,mbona mimi huwa hunisex?,leo nimekubamba.
 
Watu wanaodai kumpenda Yesu hadharani ni wabaya sana na ni wa kuogopwa kama ebola. Ukisikia mpenzi, mchumba ama mke akidai kumpenda Yesu hadharani kula mita.
Ona huyu anamwamcha mmewe anaenda kutamani dudu ya kichaa, mpe akuzalishe katoto kenye copyright yake na mmeo akupige redcard.
 
hv mi naoa ili iweje wakat dunia ya asaivi hakuna mke... wacha niwe mzinzi tu!
ndoa itanisikia kwenye bomba!
 
Back
Top Bottom