Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa!
Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi show off kbsa na I put on low profile always always, sio mgomvi na sipendi ugomvi, nina weakness zangu na nikiambiwa I take it positive always positive.
Nikiwa bar napenda kukaa kaunta sasa basi juzi nilikaa na wadada fulani 25-28 ndio umri wao, tulipiga stori kisa ujirani wa kukaa. Kwa kuwa nina ujasiri na pia welcoming attitude ninayo na ni attuned tukawa mabest ghafla.