Nimeomba “threesome” na Wanawake wawili kiutani wamekubali, nipo njia panda

Nimeomba “threesome” na Wanawake wawili kiutani wamekubali, nipo njia panda

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa!

Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi show off kbsa na I put on low profile always always, sio mgomvi na sipendi ugomvi, nina weakness zangu na nikiambiwa I take it positive always positive.

Nikiwa bar napenda kukaa kaunta sasa basi juzi nilikaa na wadada fulani 25-28 ndio umri wao, tulipiga stori kisa ujirani wa kukaa. Kwa kuwa nina ujasiri na pia welcoming attitude ninayo na ni attuned tukawa mabest ghafla.

Mimi natumia bia Kilimanjaro kubwa na wao mmoja castle light mwingine Serengeti Light. Matumizi niligharamia elfu50 kwa shoo nzima ya bia.

In between nikawa too real nikawasifia nikawaambia kati yao siwezi kuchagua mmoja nawapenda wote. Wakasema kweli nikawaambia hata leo siwezi chagua labda wote muwe wangu, mbona threesome zipo hamjawahi sikia? Wakaguna wakasema tunajua ila yataka moyo!

Wallah nawapenda wote naomba muwe wangu wote, hakika kwenye maisha ya kaisali yapo, mmoja akasema tutatafakari utapewa jibu. Badae niwasindikiza kwao nikawapa na elfu30 ya supu asubuhi salale walivopokea ile pesa wote wakaniwao kama nyuki wakanipa denda dendaz, I ran mad instantly. Nikasepa.

Sasa haiwihaiwi jana nimepewa yes wako tayari wamenikubali. Chonde chonde it was a joke for real wakati nawaambia, ila tamaa ya ule uzuri wao dadeki niko njiapanda. Naombeni ushauri nitest nifanye threesome au niache naogopa nisijekuwa addicted na threesome naombeni ushauri, nikamue shoo au niache.

Napatikana Dodoma sio mbali na Chuo cha Mipango Idodomya patamu sana.
 
uliwaomba au walikuomba?
Niliwaomba mimi wote wawe mademu zangu na tuwe tupiga threesome wamekubali, kimtindo nilifanya kiutani wao wamekubali kweli, buda niko njia panda nipige show au niuze mechi
 
Back
Top Bottom