Nimeomba “threesome” na Wanawake wawili kiutani wamekubali, nipo njia panda

Nimeomba “threesome” na Wanawake wawili kiutani wamekubali, nipo njia panda

Kuna mshikaji wangu mmoja aliokota ma bar maid wawili Wazur hatar mnyiramba Na mgogo wamefungasha nyuma balaa akawashawishi akawa anaishi nao chumba kimoja jamaa ana godoro tu, cha ajabu alivyowaleta Geto wote wakaacha kazi wakawa wadada Wa nyumbani tu Na jamaa alikuwa akimchakata mmoja anageuka upande Wa pili anamchakata mwingine baadae jamaa akaona majiran wanamshangaa ikabidi amuambie kaka yake ajifanye anakitaka chumba eye kasafir ndio ukawa mwisho wa mahusiano maana wadada walikuwa wameshaloea hapo na hawakutaka kuondoka, hapo ndipo nilipoona Kuna baadhi ya wanawake wamejichoka.
 
Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa!

Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi show off kbsa na I put on low profile always always, sio mgomvi na sipendi ugomvi, nina weakness zangu na nikiambiwa I take it positive always positive.

Nikiwa bar napenda kukaa kaunta sasa basi juzi nilikaa na wadada fulani 25-28 ndio umri wao, tulipiga stori kisa ujirani wa kukaa. Kwa kuwa nina ujasiri na pia welcoming attitude ninayo na ni attuned tukawa mabest ghafla.

Mimi natumia bia Kilimanjaro kubwa na wao mmoja castle light mwingine Serengeti Light. Matumizi niligharamia elfu50 kwa shoo nzima ya bia.

In between nikawa too real nikawasifia nikawaambia kati yao siwezi kuchagua mmoja nawapenda wote. Wakasema kweli nikawaambia hata leo siwezi chagua labda wote muwe wangu, mbona threesome zipo hamjawahi sikia? Wakaguna wakasema tunajua ila yataka moyo!

Wallah nawapenda wote naomba muwe wangu wote, hakika kwenye maisha ya kaisali yapo, mmoja akasema tutatafakari utapewa jibu. Badae niwasindikiza kwao nikawapa na elfu30 ya supu asubuhi salale walivopokea ile pesa wote wakaniwao kama nyuki wakanipa denda dendaz, I ran mad instantly. Nikasepa.

Sasa haiwihaiwi jana nimepewa yes wako tayari wamenikubali. Chonde chonde it was a joke for real wakati nawaambia, ila tamaa ya ule uzuri wao dadeki niko njiapanda. Naombeni ushauri nitest nifanye threesome au niache naogopa nisijekuwa addicted na threesome naombeni ushauri, nikamue shoo au niache.

Napatikana Dodoma sio mbali na Chuo cha Mipango Idodomya patamu sana.
Unaweza kweli kujisifu kwa kutongoza Malaya? Hiyo si ndio Kazi yao au?
 
Kama ni cha zamani mbona unabwabwaja hapa kuwa hujawahi kupiga threesome.!

Wewe ni mwandishi mzuri wa riwaya, tumia kipawa hicho kwa faida…. ukiitwa mpumbavu uwe unashukuru.

Pumbavu.![emoji276]
We bwege tu hio ni flashback that had nothing to do with threesome ila niliwala wote separately, japo sleeping we slept all three in same bed, umetumia akili za ufufu fc
 
Kwa hesabu za haraka hapo kwenye hiyo 50,000/= kila mmoja amekunywa bia kumi,yaani wewe hapo umekunywa maji ya Ilala kidumu cha Lita tano!!! Angalizo: kuwa makini na Figo zako mkuu, wewe ni nguvu kazi ya Familia na taifa... Back to the topic, kwa ugumu wa life sasa hivi hata kama hao mademu wangekuwa watano ukawapiga maji kila mtu bia kumi na elfu 15 each ya kuanzia kesho walah lazima wakubali, na hili tatizo la taifa la nguvu za kiume ndiyo kabisaaa wanaona wamepata ATM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kila mtu ashinde mechi zake
 
Sasa profile zao sisi zinatuhusu nini mkuu?

Hapo ni wewe na kiuno chako tu.

Dhambi zako mwenyewe, raha zako mwenyewe... sisi wasomaji tu sasa sana tutakuonyesha hakunaga dume kama wewe ila nyuma ya keyboard tunakung'ong'a.
kunguni kwako huna hujui makali yake wivu mbaya sana
 
Ndokwanza nshaamaua tayari na shoo iko half time, ntwapa feedback kesho mwenzenu nakesha kila mtu ashinde mechi zake, Utopolo wapo manungu, Simba wasubiri hamsa zao wkend
 
Mshamba mmoja tu hasa nikionaga mtu ana mix na ka broken English kweny kiji stor ambacho hakieleweki

Mshamba af mgeni [emoji1751][emoji1751]
 
Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa!

Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi show off kbsa na I put on low profile always always, sio mgomvi na sipendi ugomvi, nina weakness zangu na nikiambiwa I take it positive always positive.

Nikiwa bar napenda kukaa kaunta sasa basi juzi nilikaa na wadada fulani 25-28 ndio umri wao, tulipiga stori kisa ujirani wa kukaa. Kwa kuwa nina ujasiri na pia welcoming attitude ninayo na ni attuned tukawa mabest ghafla.

Mimi natumia bia Kilimanjaro kubwa na wao mmoja castle light mwingine Serengeti Light. Matumizi niligharamia elfu50 kwa shoo nzima ya bia.

In between nikawa too real nikawasifia nikawaambia kati yao siwezi kuchagua mmoja nawapenda wote. Wakasema kweli nikawaambia hata leo siwezi chagua labda wote muwe wangu, mbona threesome zipo hamjawahi sikia? Wakaguna wakasema tunajua ila yataka moyo!

Wallah nawapenda wote naomba muwe wangu wote, hakika kwenye maisha ya kaisali yapo, mmoja akasema tutatafakari utapewa jibu. Badae niwasindikiza kwao nikawapa na elfu30 ya supu asubuhi salale walivopokea ile pesa wote wakaniwao kama nyuki wakanipa denda dendaz, I ran mad instantly. Nikasepa.

Sasa haiwihaiwi jana nimepewa yes wako tayari wamenikubali. Chonde chonde it was a joke for real wakati nawaambia, ila tamaa ya ule uzuri wao dadeki niko njiapanda. Naombeni ushauri nitest nifanye threesome au niache naogopa nisijekuwa addicted na threesome naombeni ushauri, nikamue shoo au niache.

Napatikana Dodoma sio mbali na Chuo cha Mipango Idodomya patamu sana.
Hili tangazo la kuwavutia wadada, mwanaume huwezi kuweka tangazo kabla ya tukio halijatekelezwa
 
Hili tangazo la kuwavutia wadada, mwanaume huwezi kuweka tangazo kabla ya tukio halijatekelezwa
But I have my Hooper's and Kandahar around me and am dunking all day, I wouldn't care the hawkers when it rains on them
 
Back
Top Bottom