Nimeombwa hela ya kusukia

We nawe mchoyo...si ungempa tu,kwan mpk umseme??
 
Hahaa nikuulize hivi asingekuomba hela wee si ungeanza kuomba ishu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na yeye kaaona akuwahi kabla wewe hujamuwahi!!!
hahahaaa huu mchezo wa kuwahiana huu hatariii
 
Ndio maana mm huwa napenda wanawake wa kununua.
Ni hatari lakini salama kwa uchumi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…