contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Ungekuwa na hela ya kumpatia wala usingekuja kujiliza hapa, mwanamme suruali kweli!halafu hawana aibu eti mwanaume suruali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa na hela ya kumpatia wala usingekuja kujiliza hapa, mwanamme suruali kweli!halafu hawana aibu eti mwanaume suruali!
Ndio umshangae, 30 analia, angeombwa 300 angechanganyikiwa asielewe kuwa kwa nywele wala sio pesa ya kutosha wala kutisha, umasikini bwana, anataka amtongoze akiwa kapendeza lkn Hajui kugharamiaNaye kaanza mno na kiwango cha chinii, sasa na wewe 30 inakukimbiza??
We nae...kwani unafikiri nikikutongoza nina shida na urembo ama nywele zako?Ndio umshangae, 30 analia, angeombwa 300 angechanganyikiwa asielewe kuwa kwa nywele wala sio pesa ya kutosha wala kutisha, umasikini bwana, anataka amtongoze akiwa kapendeza lkn Hajui kugharamia
Wadada bhanaUngekuwa na hela ya kumpatia wala usingekuja kujiliza hapa, mwanamme suruali kweli!
Nimecheka sanaNelson nely sasa broo ndio ujue kaka kuwa zama zimebadilika kila masika na mbu wake. Hawa wanangata kidogo wale wanangata zaidi. Sasa kaka hapa ni kuchagua moja miaka hii ama uwe unakula kwa macho la sio hivyo hela ikutoke kaka, unapiga vitu na huku unalia. Akikuuliza mbona unalia? unadanganya utamu kumbe unawaza hela yako. Kubali kuchagua moja kaka. Tokea msukuma ashike mpini wengi humu JF wanalilia hili. Wenyewe wanakwambia raha tunapata sote kwa nini mimi ndio nilipie? ni mjadala mkubwa sana hapa na mpaka leo hii haujapata ufumbuzi mkuu.
Tobaaaaaa nakuja mamaAhaaaaaa,,,ahaaaaa,,kaka unalo,,njoo kwangu sikudai hata ya vocha licha ya kusukia
Vyuma mama vyumaaJamaniii,,hiv nyie wanaume mkoje??nunu yabure mkatafute kwa wake zenu,hao wengine kulipia ni lazima,eboo
Ghetto kwako?Mwambie aje achukue
Umenena vyema kabisa mkuu kula likeWadada mtuache tuwape kwa sababu ni suala jema kumpa mpenzi wako.. Tusiufanye uhusiano ni vending machine.. Mkitupa na sie tunawapa... Hapana..tupeane kwakuwa tunamsukumo wa kupeana.
Hata hivyo.. Tunatoa pale tunapoona kunahitaji sio jamani?! Tunapenda unaponyoa basi tunaweka bajeti ya bebi kunyoa..sasa wewe hata interest zako sijazijua.. Hujui napendelea nn unataka ufadhili Wa nywele..je kama sizipendi?! Napenda ukinyoa?!
Ngoja nichek nae aiseeMuone mkuu screpa hapo juu amesema ana dawa yake!!
DuuhKusuka kumepanda bei tena kamuhurumia
DuuhHuyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.
Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.
Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????
Sjamuelewa kwakweli