Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Hahhah vimeo.com .....hapo hamna kitu na hawa ndio unapiga leo af unamblock au unamporezea....kama hawa nibkwa ajili ya kujipigia tu
 
Kwa hiyo mkuu unanishauri nimpe hiyo 30,nipige halafu nimpotezee?sio ndo atasumbua zaidi kisa kanigei papuchi?hapa kinachonishinda ni kero zake tuu baasi!
 
haa misd cal 20 plus simpi hata sh umi na delete a ku block..hata papuchio haitakiwi kupgwa,...kuna level na levelllhuyu kimeo platinumwengine unagegeda unamkubali unampa naulisijui ya rasta hata kama hajaomba ...warning:kutokana na mtu na akili ya huyo mdada pia
 
Hilo pia suala mkuu....nina wasiwasi na akili yake
 
Brazilian hair?yeye ni mbongo mkuu...tena mhehe sasa brazilian hair za nini tena hapo....si kuumizana huku?kuna mkuu alishasema humu,hawa viumbe hawana huruma na sisi!...naanza kuamini.
ha ha ha haaa mkuu unauliza brazirian hair ni nini? Ndoo utaratibu wa urembo siku hizi. Vipi unaangaliaga AZAM TV? wale wadada unawaona nywele zao? Uliza zinatoka wapi na zinauzwa bei gani?
 
Naye kaanza mno na kiwango cha chinii, sasa na wewe 30 inakukimbiza??
 
ha ha ha haaa mkuu unauliza brazirian hair ni nini? Ndoo utaratibu wa urembo siku hizi. Vipi unaangaliaga AZAM TV? wale wadada unawaona nywele zao? Uliza zinatoka wapi na zinauzwa bei gani?
Kuoneana huku mkuu,kwani si wana nywele zao lakini?
 
Jamen 30 tu si pesa ya madafu tu hiyoooo ungeidable afu ungemtumia
 
Duuh yaani wadada kwanini wanakuwa wavivu kutafuta pesa hizo za kusukia sijui kucha,tuache tabua huzo zinanikelaaa......!cjui nipepo hill?
 
Back
Top Bottom