Nimeombwa hela ya kusukia

Mwambie afate ghetto kwako akija make sure unachoma kwanza ndo unampa hiyo hela ya kawaida sana kama hataki kuja mpotezee faster hakuna hela ya bure Siku hizi
Ushauri mujaarab.....
 
hujamuelewa vp hapo si amekwambia anataka efu 30,hapo makosa ni yako mwenyewe yaaani huyo umemchelewesha mwenyewe,mimi nikitaka demu nahakikisha siku hiyohoyo ya kwanza nageuka kuwa ruba a.k.a kiroboto yaani nitamganda mpk atanipa tu maana najua 1 mistake 1 goal yani ukimuacha tu atahakikisha anakula pesa yako mpk unasema pooo.
 
MWAMBIE AJE ACHUKUE!! SIMPLE. HUNA HAJA YA KUBLOCK. AJE ACHUKUE HAKUNA M PESA WALA TIGO PESA.
 
True mkuu.....hapo nilibugi,ngoja nibadilishe gia angani
 
Baba unapokwenda kutongoza ukumbuke kuhudumia upo hapo, .
 
I think hapa tatizo sio kumpa hela tatizo ni kwanini anaomba hela in such a short time hivi? inamaana kabla ya kukutana na yeye alikua anampango wa kusuka yale makubwa matatu?????!!
 
I think hapa tatizo sio kumpa hela tatizo ni kwanini anaomba hela in such a short time hivi? inamaana kabla ya kukutana na yeye alikua anampango wa kusuka yale makubwa matatu?????!!
Swali zuri mkuu na ndo swali langu pia
 
Usimpe kwani atakugeuza wa kuomba kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…