Ponjoro
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 442
- 396
Kwani ni biashara? Au ni bidhaa? Nini cha bure hapo...mimi nashangaa sana mkiongea maneno hayo! Yaani jamaa amgegede vizuri na mpaka msichana afurahi halafu amuongeze na pesa juu! Kwani starehe atapata mwanaume pekee? Halafu mapenzi ni mchezo wa kupeana...nipe nikupe!!! Kumpa pesa mpenzi ni maamuzi tu, ambapo yeyote anaweza kutoa bila kujali jinsia...Hasa nyie mnataka wanawake wanini na kugharamia huwezi,yani 30 tu una mblck je ungeombwa vikubwa zaidi ya hiyo?mjini hamna cha bure,huu mchezo hauwitaji hasira