Kwani ni biashara? Au ni bidhaa? Nini cha bure hapo...mimi nashangaa sana mkiongea maneno hayo! Yaani jamaa amgegede vizuri na mpaka msichana afurahi halafu amuongeze na pesa juu! Kwani starehe atapata mwanaume pekee? Halafu mapenzi ni mchezo wa kupeana...nipe nikupe!!! Kumpa pesa mpenzi ni maamuzi tu, ambapo yeyote anaweza kutoa bila kujali jinsia...Hasa nyie mnataka wanawake wanini na kugharamia huwezi,yani 30 tu una mblck je ungeombwa vikubwa zaidi ya hiyo?mjini hamna cha bure,huu mchezo hauwitaji hasira
SwadaktaaKwani ni biashara? Au ni bidhaa? Nini cha bure hapo...mimi nashangaa sana mkiongea maneno hayo! Yaani jamaa amgegede vizuri na mpaka msichana afurahi halafu amuongeze na pesa juu! Kwani starehe atapata mwanaume pekee? Halafu mapenzi ni mchezo wa kupeana...nipe nikupe!!! Kumpa pesa mpenzi ni maamuzi tu, ambapo yeyote anaweza kutoa bila kujali jinsia...
Na huko sitaki kabisaaVitu Vingine wanaume tuna jitakia wenyewe tuna jibebesha majukumu ya watoto wa wengine bila sababu
?????HAUNA PICHA UTUWEKEE MKUU?
Nyie wa Dar mkoje vile?Kumbe hata nyie wanaume wa mkoani mnalialia ivyo
yah man wakichaga hawa niwaelewa lakin inabidi uwe mjanja bando la 1500 wiki hadi wiki chuo cha tumaini kuna watoto wengi wanyumbani hapa twn banjuka nao kama vpKumbe ni wakichagaa!!!!!!!!!!??
Hahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie aje achukue, halafu hiki kiwango sijui kiliwekwa kisheria yaani wote ni buku 30.
hhhhahhhaaaaaa!!!Mwambie aje na risiti ya EFD kabisa.
Tuh tuh nmekusoma sana mkuu niko miyomboni pande hizo.. aseee uko vizuri mkuu...yah man wakichaga hawa niwaelewa lakin inabidi uwe mjanja bando la 1500 wiki hadi wiki chuo cha tumaini kuna watoto wengi wanyumbani hapa twn banjuka nao kama vp
Naaan mkuuHahaha hakuna kitu hapo
Ndo mnavopenda..yaan wewee!hhhhahhhaaaaaa!!!
hahaaaa!haya mazungumzo baada ya habari,!!Ndo mnavopenda..yaan wewee!
Mkuu mapensho star nakusoma sana mkuu....jali sana wewe!!yah man wakichaga hawa niwaelewa lakin inabidi uwe mjanja bando la 1500 wiki hadi wiki chuo cha tumaini kuna watoto wengi wanyumbani hapa twn banjuka nao kama vp
Nikaushie uongo??Hahaha hakuna kitu hapo
Nimekukubali mkuu wangu!!Inaonyesha huyo ni dem wa mwendokasi! tit for tat. Sema mkuu jitahidi usimtumie hadi muonane tena kwanza maana hiyo tabia ya kukuomba pesa mapema kiasi hicho hata mimi sijaipenda...[emoji53]
Teh istake nlale vibaya mie..hahaaaa!haya mazungumzo baada ya habari,!!
Teh usitake nlale vibaya mie..
Nimekukubali mkuu wangu!!