Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Kosa lenu mnawaambia wadada mnawapenda ndio maana mnapigwa mizinga
Wewe mwanamke ukimtaka mwambie unachotaka akupe umtoe muachane
 
SASA NA WEWE SI ULITAKA UKUBALIWE HARAKA NA YEYE KAPIGA MZINGA WA HARAKA
 
Akipiga mwambie hapa ni kituo cha polisi cha kati unaongea na afande marwa hahaha acheni ubahili basi wanaume wetu wa dar
Hahahaaaaa.......wanaume wa dar??ngoja wakusikie......halafu mbona mnapenda sana pesa nyinyi watu???
 
Back
Top Bottom