Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka hapa !! Kawadanganye wadogo zakoYaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana
Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.
Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]NAona mkuu unahadhitia ndoto, yaani unataman uende ofsi X ukutane na dem mkali akuombe rushwa ya ngono