Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

ndio tatizo la wanaume wanaojipodoa, kila siku kupakaa lotion....mnakuwa kama taifa zima limejaa akina mama 🙁 , sie hatutaniwi namna hiyo halooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
wasaKj8I_400x400.jpg

Hatujawahi Ona
 
hizo hisia huzipata wapiga nyeto wakati wanajitafuta unapata kila hisia muchanganyiko
 
Back
Top Bottom