Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuopo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
Sasa ndugu toa taarifa TAKUKURU hata kama niile ofisi ya nyasi kavu umekutana na huo ufisadi, kwani hao hao ndio walezi wa mambo hovyo na waharibifu wa taifa letu😔
 
Foleni ya kwenda kumuangalia mwanaume wa kwanza duniani aliye kataa ofa ya mbususu.
cd2db504f7b59b60ce199c61523858a2.jpg
 
ndio tatizo la wanaume wanaojipodoa, kila siku kupakaa lotion....mnakuwa kama taifa zima limejaa akina mama 🙁 , sie hatutaniwi namna hiyo halooo
 
Kwa mtindo huu,watu eti wanahitaji maendeleo. Mtu na umri alonao,anaona akijisingizia kitu atakuwa amewin. Hata kama ni kahaba,hata kama inawaka moto, we kitu gani mwanamke akuangalie hapo hapo na akwambie anakutaka? Ungesema kwenye kirabu cha pombe za kienyeji binafsi ningekuelea na nisingekukatalia. Pamoja na mapungufu yao,kudhalilishwa kiasi hicho si busara.
 
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuopo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
Chai..
 
Back
Top Bottom