Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuopo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
UKIMWI upo. Kuwa makini
 
"Ama hakika angekuopo mwanaume rijali asingemchomoa..."
Kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu wewe?
 
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuopo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
Mwanaume rijali kukataa mgegedo atakuwa na shida fulani ya kibaiolojia. Hebu nenda haraka kwa daktari ukacheki inawezekana unadalili za ushoga/upinde na hujijui.
 
Back
Top Bottom