Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

kwani hili jukwaa mpaka mahanithi wanaluhusiwa kueka thread??
 
Mnaona vinaja? Haya ndio madhara ya Daydreaming huku umeshika simu. Siku nyingine ukiwa unaota macho, hakikisha simu umeiweka pembeni at least mita 6 mbali ili kuepuka kufool kadamnasi..
 
Toka hapa !! Kawadanganye wadogo zako
 
Yaani unakubali kucheleweshewa huduma kwa sababu ya dushelele? Wewe jamaa ni utopolo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…