Hector Cooper JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 696 Reaction score 1,036 Oct 16, 2023 #21 chapwa24 said: hayo ni maeneo gani? ni karibu na ule mjengo alijenga Bashite kwa pesa alizopora kwa watu? au wapi hapo? Click to expand... Umeambiwa Buhongwa wewe unasema Igoma kwa Bashite.
chapwa24 said: hayo ni maeneo gani? ni karibu na ule mjengo alijenga Bashite kwa pesa alizopora kwa watu? au wapi hapo? Click to expand... Umeambiwa Buhongwa wewe unasema Igoma kwa Bashite.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Oct 16, 2023 #22 Nigrastratatract nerve said: Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa. Click to expand... Waandishi wa Namtumboo
Nigrastratatract nerve said: Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa. Click to expand... Waandishi wa Namtumboo
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Oct 17, 2023 #23 Hector Cooper said: Umeambiwa Buhongwa wewe unasema Igoma kwa Bashite. Click to expand... kumbe Bashite kwake ni igoma, kwenye mjengo alopora pesa za raia wema.
Hector Cooper said: Umeambiwa Buhongwa wewe unasema Igoma kwa Bashite. Click to expand... kumbe Bashite kwake ni igoma, kwenye mjengo alopora pesa za raia wema.