Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Umeambiwa Buhongwa wewe unasema Igoma kwa Bashite.hayo ni maeneo gani? ni karibu na ule mjengo alijenga Bashite kwa pesa alizopora kwa watu? au wapi hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa Buhongwa wewe unasema Igoma kwa Bashite.hayo ni maeneo gani? ni karibu na ule mjengo alijenga Bashite kwa pesa alizopora kwa watu? au wapi hapo?
Waandishi wa NamtumbooYajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
kumbe Bashite kwake ni igoma, kwenye mjengo alopora pesa za raia wema.Umeambiwa Buhongwa wewe unasema Igoma kwa Bashite.