Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Yaani sijakuelewa tu, mwanzo umeanza kwa kunipinga afu mwisho umekuja kuungana na mimi, au umelewa broo?
Hoja ni kuwa kwanini wachezaji wa kitanzania hawapendi kutoka nje ya nchi na wanapambana kubaki how?
MZIZE kagoma kwenda TUNISIA
MWALIMU kakimbia WYDAD
FEI kawazimia simu watu wa SOUTH AFRIKA tena walimtamani kipindi tumeenda kule kucheza na bafanabafana.
Je shida zao ni nini?
Yaani sijakuelewa tu, mwanzo umeanza kwa kunipinga afu mwisho umekuja kuungana na mimi, au umelewa broo?Akipambana mazoezini atamshawishi mwalimu aingie first 11
Comfort zone sio nzuri kwenye maisha, laZima tusake changamoto ili tukuwe.
Simba patampa exposure hata kwenye training tu, kufanya mazoezi Simba au Yanga laZima upate kitu.
Usiogope changamoto pambana ukiambiwa Congo Kuna fursa nenda, safari hata Kwa ugumu nenda mataifa usiyoyajua kupata changamoto mpya
MhhhLakini he has a family to feed pia na mkumbuke wachezaji wa kitanzania kukaa kwenye peak miaka miwili tu ni mtihani yupo wapi
Dickson Ambundo
Balama Mapinduzi
Abdulrahman Guti
George Mpole
Secure the bag tu mamaye
Kwanza sio gorikipa ni golikipa,pia fahamu kuwa mchezaji mwenyewe ndio ameba kuondoka na ukumbuke jkt walishamlipa fedha za kuongeza kandarasi nyingine,hivyo simba wamelipa kila kitu kwa mujibu wa matakwa ya jkt,hivyo tuwatakie nangu na yacoub kila la kheriSijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).
Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.
Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.
Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.
Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.
Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?
Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.
Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
Mzize hajakataa kwenda TunisiaYaani sijakuelewa tu, mwanzo umeanza kwa kunipinga afu mwisho umekuja kuungana na mimi, au umelewa broo?
Hoja ni kuwa kwanini wachezaji wa kitanzania hawapendi kutoka nje ya nchi na wanapambana kubaki how?
MZIZE kagoma kwenda TUNISIA
MWALIMU kakimbia WYDAD
FEI kawazimia simu watu wa SOUTH AFRIKA tena walimtamani kipindi tumeenda kule kucheza na bafanabafana.
Je shida zao ni nini?
Jana ulikua unatoa povu kuhusu Mzize leo umebadili CDMaisha ya mtu usiyaingilie achana nayo vijana wa kitanzania mupo VP munapenda sana kufatilia mamb ya watu waacheni na maisha yao eeeeeeeh ..........
Mzinze hajaongeza mkataba msemaji wa team kaeleza hizi taarifa unazitoa wapi?Mzize hajakataa kwenda Tunisia
Mzize ameongezewa mshahara Sasa atalipwa 44, mkataba huu mpya una ofa ya ubalozi wa bidhaa za GSM n.k akiunganisha pesa zote zinafika zile ambazo angeenda Tunia
Mpira ni kaziHussein Abel na Yakoub wamechagua mishahara mikubwa ili kupoteza viwango vyao.
mkuu sielewagi mamboMzize hajakataa kwenda Tunisia
Mzize ameongezewa mshahara Sasa atalipwa 44, mkataba huu mpya una ofa ya ubalozi wa bidhaa za GSM n.k akiunganisha pesa zote zinafika zile ambazo angeenda Tunia
Nadhani kabla haujamlaumu ungejua kwanza terms za mkataba wake. Inawezekana kwa profile aliyoijenga kwa muda mfupi, labda amehakikishiwa idadi kadhaa ya mechi.Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).
Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.
Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.
Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.
Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.
Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?
Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.
Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
kwa fei toto amewekewa mshahara mnono, kuliko hata angeenda huko kaizerSijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).
Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.
Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.
Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.
Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.
Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?
Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.
Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
Siamini kupitia hilokwa fei toto amewekewa mshahara mnono, kuliko hata angeenda huko kaizer