Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Mkuu itakua vizuri kwake kama Mwalimu ndiyo kamuhitaji, maana Timu zetu Viongozi wanatabia ya kuleta wachezaji ambao Mwalimu hana mipango nao.Akipambana mazoezini atamshawishi mwalimu aingie first 11
Comfort zone sio nzuri kwenye maisha, laZima tusake changamoto ili tukuwe.
Simba patampa exposure hata kwenye training tu, kufanya mazoezi Simba au Yanga laZima upate kitu.
Usiogope changamoto pambana ukiambiwa Congo Kuna fursa nenda, safari hata Kwa ugumu nenda mataifa usiyoyajua kupata changamoto mpya
Kaine ni njia Nzuri ya Mafanikio kuliko hapa matopenikwa fei toto amewekewa mshahara mnono, kuliko hata angeenda huko kaizer
Bora useme wewe kaka.Kaine ni njia Nzuri ya Mafanikio kuliko hapa matopeni
endelea kutoamini, we unadhani hao Kaizer wangempa mshahara upi? kuna mengi hatuyajui ndani ya mikataba,, sisi mashabiki na walaji habari,Siamini kupitia hilo
Alaaaha, kumbe.Wachezaji wa kibongo huwa hawataki kwenda nje maana huko nje hakuna media hype na superstar status wanayopata hapa bongo...
Sio hivyo tu hata mademu wa kujilengesha lengesha huko nje hawapo, mfano kama wakienda kuchezea Tunisia au Morocco.. wanakuwa ni watu wa kawaida sana, hakuna mademu wa kuwashobokea!
Mayele mwenyewe amewahi kusema ali enjoy sana maisha ya nje ya uwanja alivyokuwa hapa bongo, mademu wa kibongo wauza sura walikuwa wanamshobokea sana na aliwatembezea sana rungu, mambo ambayo huko misri sasa hivi hayapati... kitu pekee anachofaidi huko misri kulinganisha na huku ni mshaara mkubwa tu basi anaolipwa pale Pyramid.
Wabongo tupunguze hii tabia ya kuingilia/kupangia watu maisha. Yaani kuna wakati huwa tunajigeuza kama baba/mama wa watu wengine, jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).
Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.
Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.
Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.
Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.
Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?
Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.
Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
Iko hivi.Mpira pesa
Golikipa hashuki kiwango kirahisi labda uwe mzembe mwenyewe.Iko hivi.
Huyo kipa anaweza kusaini kwa milioni 100 leo na mshahara milioni 10 kwa mkataba wa miaka miwili maybe.
Chakujiuliza mkataba wake utapoisha atapewa kiwango hicho hicho au zaidi?
Unaweza kutoa mamilioni ya pesa kwa mchezaji anayesugua benchi?
Nini matokeo ya kiwango cha mchezaji anayesugua benchi?
Nje ya Nchi hawawezi kwenda kwa sababu hawafahamu Kiingereza wala kiarabu, hawana mkalimani wala hawana wakala wazuri.Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?
Yes kama ulikuwa hufahamu, wachezaji wengi wa kigeni wakija hapa bongo ndio huwa wanazifaidi sana pisi kali, pisi ambazo kwa huko kwao hawana uwezo wa kuzipata...Alaaaha, kumbe.
Mkuu lugha inausiana vipi na Ajira ya Mpira,Wachezaji wengi kutoka Brazili hawajui Kiingereza na ata Wachezaji baadhi ya kutoka nchi za Ulaya wapo wasiojua Lugha ya KiingerezaNje ya Nchi hawawezi kwenda kwa sababu hawafahamu Kiingereza wala kiarabu, hawana mkalimani wala hawana wakala wazuri.
Maamuzi yake yanapaswa kuheshimiwa!Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).
Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.
Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.
Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.
Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.
Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?
Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.
Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
Logic na hili wengi hawalijuiHapa kwetu hapalipi kwani au ndo kukariri nje ni bora kuliko ndani kwako.
Kwa namna ulivyoandika unamaanisha jamaa wanaogopa kucheza nje ya Bongo,kitu ambacho sio kweli naamini wanaangalia mambo mengi ikiwemo maslahi.
Inabidi ujue Bongo pameshastawi kimpira,kingine huwezi kuwa na malengo makubwa kimpira alafu unauzia washindani wako wachezaji na uwezo wa kuwabakisha unao,wanabakishwa timu ifanye vizuri ili chapa iuzike zaidi
Sio wachezaji tu bali watanzania kwa ujumla wana ushamba wa kutoka nje ya nchi. Sijui wanaogipa nini.Yaani sijakuelewa tu, mwanzo umeanza kwa kunipinga afu mwisho umekuja kuungana na mimi, au umelewa broo?
Hoja ni kuwa kwanini wachezaji wa kitanzania hawapendi kutoka nje ya nchi na wanapambana kubaki how?
MZIZE kagoma kwenda TUNISIA
MWALIMU kakimbia WYDAD
FEI kawazimia simu watu wa SOUTH AFRIKA tena walimtamani kipindi tumeenda kule kucheza na bafanabafana.
Je shida zao ni nini?
Mkuu bado uchumi una ruhusu Mwananchi kubakia Nyumbani, ingekua uchumi mgumu mfano ukiwa na Milioni 5 haitoshi kufungua genge lazima wananchi wangeikimbia nchi kama wa KenyaSio wachezaji tu bali watanzania kwa ujumla wana ushamba wa kutoka nje ya nchi. Sijui wanaogipa nini.
kuogopa kuanza maisha mapya nje ya nchi,mazingira,bata,hata lugha ni changamoto sana kwa wachezaji nchini.Yaani sijakuelewa tu, mwanzo umeanza kwa kunipinga afu mwisho umekuja kuungana na mimi, au umelewa broo?
Hoja ni kuwa kwanini wachezaji wa kitanzania hawapendi kutoka nje ya nchi na wanapambana kubaki how?
MZIZE kagoma kwenda TUNISIA
MWALIMU kakimbia WYDAD
FEI kawazimia simu watu wa SOUTH AFRIKA tena walimtamani kipindi tumeenda kule kucheza na bafanabafana.
Je shida zao ni nini?
cha kuongezea ni kwamba ni kheri milioni 15nyumbani kuliko kulipwa milioni 20 ughaibuni.Huko alipo analipwa kiasi gani na simba watampa dau kiasi gani ?
Kumbuka ni bora zaidi na faida zaidi kucheza kuliko kukaa mkeka ila kumbuka pia mpira ni short career ni vigumu sana kucheza consistently zaidi ya miaka kumi; hivyo ukipewa DAU ambalo angalau litakufanya upate needs zako na wants it is worth considering...
ni MZIZE sio Mzinze. jamaa alisinya kandarasi ya miaka mitatu mpaka 2027.Mzinze hajaongeza mkataba msemaji wa team kaeleza hizi taarifa unazitoa wapi?
Pia amepewa gari crown na nyumba pia maeneo ya mbweniMzize hajakataa kwenda Tunisia
Mzize ameongezewa mshahara Sasa atalipwa 44, mkataba huu mpya una ofa ya ubalozi wa bidhaa za GSM n.k akiunganisha pesa zote zinafika zile ambazo angeenda Tunia