Nimeona hapa ndo kuna shida kwa vijana wengi Tanzania

Kiduku Lilo nilimkuta Titanic bar and gest house Vingunguti. Kwa kweli dogo hela anayo. Alituagizia kila mtu supu kabla Balimi hazijaanza ku flow. Wengine paya, wengine kongoro na wengine mikia na ulimi.
 
Maprosoo, jina kama linanijia hivi. Upanga kipindi sana, mpaka majina ya watu naanza kusahau.
Nahisi alikuwa upanga east
Jamaa alikuwa kiboko, Enzi za jolly akija akiwa mezani hana hata 100 lkn huo mkwala wake dah
Mwisho wa siku meza yote anaicontroll yeye

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Anhaaaa!

Unao wangapi wanaokupaga hela?

😄🤣
 
Nahisi alikuwa upanga east
Jamaa alikuwa kiboko, Enzi za jolly akija akiwa mezani hana hata 100 lkn huo mkwala wake dah
Mwisho wa siku meza yote anaicontroll yeye

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Jolly pale California Dreamer Fanani aliwapuna mpaka wakampiga ban asije pale.

Kuna mchezo fulani alikuwa amewashtukia kwenye kamali zao, kila akicheza anashinda yeye tu.

Wahindi wakampiga ban hatakiwi kutia mguu.
 
Jolly pale California Dreamer Fanani aliwapuna mpaka wakampiga ban asije pale.

Kuna mchezo fulani alikuwa amewashtukia kwenye kamali zao, kila akicheza anashinda yeye tu.

Wahindi wakampiga ban hatakiwi kutia mguu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo wachezeshaji kamali ukiwala sna lazima wakupige ban

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchawi vipi mkuu??..upo au haupo??
Uchawi ni nini?

Maana mtu anaweza kuweka Cyanide kwenye chakula, akaua, kwa sababu ya kemia, halafu akasema yeye mchawi kaua mtu kwa kumloga.

Sasa kabla ya kuniuliza kama uchawi upo, uchawi ni nini?

Na unajuaje huu ni uchawi na si trick tu ambayo sijaijua vizuri bado ambayo si uchawi?
 
Nimeshindwa kujibu swali lako

Kafara je zipo??..yaani mtu kutoa kafara na kufanikiwa kwenye michongo yake..

Tumepata kusikia stori nyingi tu zikitamka neno kafara
 
Sina hakika

Vipi wanaofanikiwa kweli baada ya kufanya hivyo..it's just coincedence??
Kuna coincidence, lakini pia kuna saikolojia ya "placebo effect".

Watafiti wa afya wakifanya majaribio ya dawa mpya, mara nyingi huwa na kitu kinaitwa "control group". Yani inakuwa kama dawa mpya imepatikana, na wanataka kuifanyia test, kwa mfano kuna watu 1,000 walio na ugonjwa, kati ya hao 1,000, 800 wanaweza kupewa dawa, na 200 wengine wasipewe dawa, wanapewa vidonge tu, vimekaa kama dawa, havina tofauti na dawa ukiviangalia kwa macho.Hao 200 wanakuwa "control group". Hii control group inakuwa benchmark ya kupima tofauti kati ya mtu anayepewa dawa na asiyepewa dawa.

Halafu hao 1000 wote hawaambiwi nani kapewa dawa na nani hajapewa dawa.

Sasa inaonekana mara nyingi sana, katika wale 200 ambao hawajapewa dawa, lakini hawajaambiwa kwamba hawajapewa dawa, kuna wengine wanapona kwa saikolojia ya kuamini kwamba wamepewa dawa.

Hii inaitwa "placebo effect". Placebo - Wikipedia

Sasa, inawezekana kabisa, mtu akawa kikawaida hana nguvu za kupigana, hana juhudi za kutafuta pesa, hana juhudi za kusoma, lakini akifanya kitu kama kafara, akiomba Mungu, akiloga kwa wachawi, etc, vitu ambavyo physically havina effect yoyote kwake, ila kisaikolojia vinampa imani kwamba ana nguvu fulani zaidi yake yeye mwenyewe inamsaidia, na inawezekana kabisa kwamba imani hiyo ikamuhamasisha mpaka kile kitu alicholenga kikatokea.

Kwa hiyo, hapo unaweza kuona kwamba kafara inaweza kufanya kazi kisaikolojia kumpa mtu boost fulani au placebo effect fulani.

Lakini si kwamba ile kafara imesababisha vitu viwezekane kivingine vyovyote.

I've read my Claude Levi-Strauss, siwezi kukataa moja kwa moja tu kwamba kafara, laana, uchawi etc havifanyi kazi.

Tatizo ni muktadha.

Kuna muktadha wa kisaikolojia unahusika sana.

Unaweza kukuta timu ya mpira imevunja nazi uwanjani, wapinzani wameona nazi, wameogopa wakidhani uchawi.

Woga huo unasababisha wasicheze kwa kujiamini, wakiona wanashindwa kidogo tu, wanadhani uchawi unafanya kazi.

Mwishowe wanafungwa kwa woga, wanadhani wamefungwa kwa uchawi.
 
Mkuu ile link uliyoweka ya kuandika paper na research. Kuna vitu nilipitia kisha nikaja kusimulia kwa jamaa zangu wengi waliona teknolojia hizo kama uchawi kumbe nchi zilizoendelea wamefanya tafiti hizo.
 
Nadhani ni malezi mabovu kwa baadhi ya makabila haswaaa ktk kipengele cha Uaminifu.
Kuna day nimemkomboa mwana kwen kichapo kitakatifu kw deni la 200,000/
Ilikua anachapika kweli na wengine wanashangilia. Nilimkomboa coz mwez hule ndo amesign ajira nilompapatulia mwanangu mwenyewe. Iseee ni zaid ya mwaka sasa ata mia ajanletea.
That means ni makosa ya wazaz wake hawakumfunza uaminifu maishani
 
Kiduku lilo kabisa kwenye ubora wako uleule
 
Yaani nina watu wawili hao.
Balaaa yaani nikikwama naenda kwao najieleza najua nitasaidika.
Kuna mmoja yeye hapendi nimuambie kitu nashtukia muamala tu umeingia suprise.
Namshukuru Mungu kwa watu hawa wema niliokutana nao.
Imagine a friend anatoka mbali sana na foleni za dar hizi just kuja kuniona tu na kupiga stori?
Ni rafiki mzuri sana kwangu.
Anhaaaa!

Unao wangapi wanaokupaga hela?

[emoji1][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nshajiapiza..sikopeshi wala sikopi mtu tena..nimepoteza marafiki wawili kisa nawadai..nikiwa na shida na pesa bank zipo ntakopa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…