Nimeona hapa ndo kuna shida kwa vijana wengi Tanzania

Mkuu hadi control study za kwenye drug discovery unazijua??!!!..[emoji119][emoji119]

Hiyo Placebo effect pia inatumika sana kwa wanaume wanaodhani wamepungukiwa nguvu za kiume,wakati kumbe ni kuto kujiamini tu..wakifika kwa wataalamu wa afya wanapewa hiyo na wengi wao hali inakuwa nzuri

Sema nimekupata vizuri
 
Mi naona hapo umeongelea kwa upande wa maisha yako kiujumla,lakini unasahahu kwamba kuna mtu anashinda asubuhi mpaka jioni kwa Tsh.2000,3000 mpaka 5000 kwa siku tu. Alafu useme pesa ya madafu hiyo laki moja mzee unakosea japo ni kweli.
 
Mkuu ile link uliyoweka ya kuandika paper na research. Kuna vitu nilipitia kisha nikaja kusimulia kwa jamaa zangu wengi waliona teknolojia hizo kama uchawi kumbe nchi zilizoendelea wamefanya tafiti hizo.
Mkuu nashukuru sana kwa ufuatiliaji wako.

Muandishi wa riwaya za kisayansi Arthur C. Clarke aliwahi kusema "any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mbona mambo ya kawaida nayasoma kwenye Newsweek, Time na The Economist tangu teenager? I did not need to pick up The Lancet or The New England Journal of Medicine for that.

This ought to be common knowledge to anybody metropolitan, literate and inquisitive enough.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unashangaa laki? mimi juzi kuna rafiki yangu nimesoma nae sijaonana nae zaidi ya miaka 10, juzi nikapewa namba zake, katika maongezi nikamwambia nina shida ya milioni 1, sijakaa hata masaa 2 akanitumia, vipato vinatofautiana

Hata hivyo kwako Laki si Pesa
 
unashangaa laki? mimi juzi kuna rafiki yangu nimesoma nae sijaonana nae zaidi ya miaka 10, juzi nikapewa namba zake, katika maongezi nikamwambia nina shida ya milioni 1, sijakaa hata masaa 2 akanitumia, vipato vinatofautiana
Embu muambie huyo rafiki yako kuwa Bushmamy anataka million kumi
 
unashangaa laki? mimi juzi kuna rafiki yangu nimesoma nae sijaonana nae zaidi ya miaka 10, juzi nikapewa namba zake, katika maongezi nikamwambia nina shida ya milioni 1, sijakaa hata masaa 2 akanitumia, vipato vinatofautiana
Laki si pesa au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…