Nimeona jezi za Yanga zipo kama vitenge vya batiki

Nimeona jezi za Yanga zipo kama vitenge vya batiki

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
sangatv___9240c867a68e47d7bf3f5b894b254c40.jpg

Nikiangalia bila jicho la ushabiki hizi ni jezi uchwara. Mbali na kuwa na muonekano wa batiki lakini wachezaji wanakuwa wanakabwa shingo.
 
Bora anayejitahidi kuumiza kichwa kubuni kuliko anayefanya copy and paste. Kilichofanyika ni utapeli
IMG_20250806_090520.jpg
 
Yanga tangu wamchukue Sheria Ngowi, jezi zao zimekuwa zina mabaka mabaka na marangirangi hapa na pale. Pamoja na kwamba wameshamalizana naye, lakini alitamka kuwa ameshadizaini jezi za miaka mitano ijayo, ni kiasi tu cha kuziachia kila mwaka
 
Ila kwa sasa hayupo tena
 
Twaanza tambiana jezi, kisha usajili, kisha uchezaji wa ndani, kisha uwakilishi kimataifa........

Sayansi ya siasa nayo inatuvuruga .... bora uchaguzi upite kwanzaa
 
Mpira pesa watu wamepata makombe wengine wametengeneza pesa sana.
 
Back
Top Bottom