Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ila kwa sasa hayupo tenaYanga tangu wamchukue Sheria Ngowi, jezi zao zimekuwa zina mabaka mabaka na marangirangi hapa na pale. Pamoja na kwamba wameshamalizana naye, lakini alitamka kuwa ameshadizaini jezi za miaka mitano ijayo, ni kiasi tu cha kuziachia kila mwaka
Pesa ukiiletea kiburi haipatikaniNdura za kichina nzuri hi jack chan
unavyopuliza mapuli unajivika vipuliPesa ukiiletea kiburi haipatikani
Tatizo lako hupokei simu yangu ππEwaaa!
Hivyo itabidi nikukumbushe au ndo utakumbuka? π