Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu muulize muhusika.
Ushauri acha ukabila
Wanyamwezi wanajua mapenzi sana nasikia, halafu wakarimu, halafu wanapenda mti na matunda yakeGaga, kuna makabila ukienda ndivyo sivyo hupati Jiko.
Tuma mshenga apeleke barua ya posa,wao watakujibu na kama itakuwa imekubaliwa utapewa mchanganuo wa vitu vinavyohitajika. Unaweza ukapeleka vitu ulivyoagizwa au pesa yenye thamani ya hivyo vitu. Wengi wao ni wakarimu sana.
Tena usisbirisubiri utakuta mwana si wako, kuna watu wanaingiaga na gia kubwa wakati wengine wanajishaurishauriEnnie, hili nalifanyia kazi leo leo!
kila la heri, naona utakuwa shemeji yake Rostam!!
Wanyamwezi wanajua mapenzi sana nasikia, halafu wakarimu, halafu wanapenda mti na matunda yake